Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

Hii ni Kamali au nini??? Kama ni kamali siwezi kukusaidia
Ok sawa tuache hayo turudi kwenye mada nina maswali haya
1.kwa mantiki hiyo sasa kumbe kila kitu katika maisha ya binadamu kimepangwa, kama kimepangwa kumbe sasa kuna walioandaliwa kua matajiri na wengine kuwa masikini kumbe tusijitaabishe kwa lolote au hii imekaaje
 
Kimepangwa kama utafuata utaratibu! Shida ni pale unapokwenda inje ya utaratibu!

Yaani kwa lugha rahisi ni kwa fomula ni kama ilivyo fomula zingine
MAGAZIJUTO ni fomula hivyo ukianza kujumlisha kabla ya kubandua mabano, lazima ukosee!
Hata fomula ya Ulimwengu kila mtu kapewa yake!
Unatakiwa kuijua ili utembee kwenye chati yako!
Usipoijua unakuwa unatembea kwenye chati za watu mambo yanakuwa magumu sana
 
Ni kweli dunia ina nguvu zake katika mfumo wa maisha yetu hapa duniani. Kuna watu wenye roho mbaya wasiopenda maendeleo ya watu wengine, hufanya jitihada za kuwakwamisha wenzao, lakini inafika muda nguvu za ulimwengu huwazidi na mtu wanayemkwamisha huibuka kwa kwa njia za ajabu mpaka wao wanashangaa!

Wakati mwingine Mungu huwatumia haohao wabaya wako kama daraja la mafanikio yako pasipo wao kujua. Adui tusiwachukie, kwani huenda huyo ndio njia yako. Siri za Mungu binadamu hatuzijui, hivyo tusifanye mambo kwa kiburi; kwamba yote tunatajua wenyewe kumbe kwenye mfumo haiko hivyo.

Tusiwe na ghadhabu juu ya wenzetu, kwani huwezi kujua wakati (siku gani) utakuwa wapi na utakabiliwa na nini na utahitaji msaada toka kwa nani. Huenda huyo unayemchukia leo ndio atakuwa msaada pekee siku utakapobananishwa, na utamumuona mfalme siku hiyo!

Samsoni alipokuwa anasafiri nyikani kwenda kwa ndugu zake, alivamiwa na simba, alipambana na simba na kufanikiwa kumuua, akamtupa pembeni ya njia na kuendelea na safari.

Siku ya pili akiwa anarudi nyumbani kwake, akiwa njiani, alishikwa na njaa kali sana, kiasi cha kuishiwa nguvu. Huku akiwa hana tumaini la kupata chakula (maana alikuwa nyikani), alipofika mahali alipomuua simba, akakumbuka na kumtazama pale pembeni ya njia alipomtupa.

Akaona kama kuna nyuki wanaruka pale, akaamua kusogea karibu na ule mzoga wa simba aliyemuua jana yake. Lahaula! Akakuta masega ya asali yaliyonona yamejipanga kwenye mzoga ule! Basi, akapakua na kula asali ile mpaka akashiba, na akabeba asali nyingine nyumbani kwa ajili a mama.

Hivyo, kumbe adui yako anaweza kugeuka msaada kwako! Simba aliyetaka kumuua Samsoni amekuwa nyumba ya nyuki ya kutengenezea asali. Unaweza kuona Mungu anavyotenda maajabu. Usiulize inawezekaje asali ikatengenezwa kwa siku moja!
 
Duh! Kwa hiyo kumbe mtu eneza ishi ukazeeka Kisha ukafa bila kuuelewa ulimwengu huu pamoja na fomyula zake eti🤔?
 
Kimepangwa kama utafuata utaratibu! Shida ni pale unapokwenda inje ya utaratibu!

Yaani kwa lugha rahisi ni kwa fomula ni kama ilivyo fomula zingine
MAGAZIJUTO ni fomula hivyo ukianza kujumlisha kabla ya kubandua mabano, lazima ukosee!
Hata fomula ya Ulimwengu kila mtu kapewa yake!
Unatakiwa kuijua ili utembee kwenye chati yako!
Usipoijua unakuwa unatembea kwenye chati za watu mambo yanakuwa magumu sana
Sawah nifanye nini ili nielewe formula hiyo vilivyo Mkuu just mentor me
 
Ni zaidi ya nyota! Ni nguvu ya Ulimwengu

Watu watakupinga Ila kiukweli nguvu ya ulimwengu ipo Ila siyo rahisi kuitambua,ni Kama vile huwezi kuamini kuwa Kuna upepo Ni mpaka uone matawi ya miti yanachezacheza.
 
Sema jina la hiyo nguvu tuingie google tukapige kitabu kwanza mkuu. Huwenda tunalalia pesa
 
Watu watakupinga Ila kiukweli nguvu ya ulimwengu ipo Ila siyo rahisi kuitambua,ni Kama vile huwezi kuamini kuwa Kuna upepo Ni mpaka uone matawi ya miti yanachezacheza.
 
Kama maisha ni formula, ningetaka kujua formula ya maisha ya Mwafrika kaitengeneza nani? Je kucheza mpira kuna formula? Wakati mwingine hata kama kuna formula unatakiwa upangue hiyo formula ili kufikia lengo.
 
Nguvu ya maisha ya kila mtu iko kwenye chaneli ( njia) ambayo kila mtu anayake!
Yapo majila ya kuoa na usipooa wakati huo hutakiwi uoe hadi wakati mwingine! Ukiforce unaumia!

Kuna majila ya kuchuma na kukopa ukikosea tu hilo deni halilipiki kwasababu unakuwa umechukua inje ya utaratibu!
Yapo majila ya kulipa (kutoa pesa) usitoe pesa inje ya majila kwani zote zitakwenda (zitatapanya)

Hiyo yote misingi ya formula ya Ulimwengu!
Zamani hata kuwinda hawakutakiwa kwenda kuwinda baadhi ya nyakati!
Kuna majila ya mwanamke hakutakiwa kuingia kwenye ghala au sehemu ya hazina! Ni mambo magumu sana lakini ndiyo fomula ya Ulimwengu!
 
Mimi nazn mtoa mada natak kujazia kuhus hii world cup hasa mesi alitabiliw kuw atafung goli kweny finaly

Pia mataifa hayo mawili yalitabiliw na nukuu kweny wimbo wa Eminem kuptia wimbo huu na utabili mwingne wa miaka saba nyuma nakubaliana na wew kwa 95%

Triple G njoo apo juu
 
Back
Top Bottom