Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

Nguvu ya maisha ya kila mtu iko kwenye chaneli ( njia) ambayo kila mtu anayake!
Yapo majila ya kuoa na usipooa wakati huo hutakiwi uoe hadi wakati mwingine! Ukiforce unaumia!

Kuna majila ya kuchuma na kukopa ukikosea tu hilo deni halilipiki kwasababu unakuwa umechukua inje ya utaratibu!
Yapo majila ya kulipa (kutoa pesa) usitoe pesa inje ya majila kwani zote zitakwenda (zitatapanya)

Hiyo yote misingi ya formula ya Ulimwengu!
Zamani hata kuwinda hawakutakiwa kwenda kuwinda baadhi ya nyakati!
Kuna majila ya mwanamke hakutakiwa kuingia kwenye ghala au sehemu ya hazina! Ni mambo magumu sana lakini ndiyo fomula ya Ulimwengu!
Mkuu nimekufata PM hujanijibu
 
Mkuu nimekufata PM
Kuna mwingine niliona wanahangaika sana hakuna fedha, ajira hakuna, uchumi mgumu mtu na mke wake. Wakaenda kwa mtu ambae aliwategulia mitego aiseeh jamaa kabla hajafika home simu za kazi zinapigwa tena anafanya aende wapi.. na yule mke wake alitamani kwenda ulaya akaambiwa na ulaya utaenda tu. Siku ya siku aunt yake yule dada akampigia simu akampa mwaliko wa ulaya. Ukiijua sir ya ulimwengu aiseeeh umetoboa.

Mwingine unaweza ona mbona sipati ajira mwaka wa 4 huu wewe unaona kawaida kumbe sio hivo kuna shida kwenye ulimwengu wa roho siku ukiteguliwa tu huo mtego zile post ulizoapply miaka miwili iliopita bahasha au Cv yako inatafutwa unapigiwa simu ya kazi..very funny lakini ndio sir za ulimwengu,
Mkuu nimekufata PM majibu please
 
The way we look, hata nionekano yetu tu inatokana na Ulimwengu ulivyo utengeneza na pattern ulivyo ji align nazo.

Nakumbuka maandiko yalisema MUNGU aliumba kisha akapumzika, sijaona sehemu aki resume kuendelea kuumba. Kilicho ni game ya sisi simulation, maana tume pewa tools zote.
Eg.
1.Kuna maahala anasema wazi nimewapa funguo, lolote mtafunga na kufungua itakuwa hivyo ( nime para phrase). Sasa hakulimit nani, as long as una GENES za binadamu inakuhusu, sasa kuna some people wamefunga mafanikio yao ni hadi wapate elimu fulan au wasaidiwe na fulani au wafunge sana na kuomba sana. Itakuwa hivo hivo.

Kuna wanao jua hizi codes, wamefungua codes, kuwa na matter what. Mim ntapata nnacho taka, how Sijui. Wanacho jua kuwa siitaji kuwa the best , fastest, smartest ili kukipata tembelea MHUBIRI 9:11 utaelewa. Hao ndo mnasemaga jamaa katoka kimazabe mazabe.

2. Inatokea pale ,, MUNGU Alipo sema ninyi ndinyi miungu wadogo, pia nenda akasema, mbingu ni za BWANA but nchi amewapa wana wanadamu, SO WEW NI WEWE PIGA CODES.

3. Mwanamke aliyekuw anaumw kutokwa na damu ,akaenda shika vazi la YESU akapona. Hakwenda kuomba uponyaji, alisimamia kanuni, YESU akahisi nguvu zime mtoka.

I short kuna kanuni nyingi sanaa, ambazo ukifumbuka na kuzifanya utaona mwangaza.

Uandishi wangu ni mbaya, Lkn pata kitu hapo.
 
UPEPO, UDONGO, MAJI NA MOTO. Niongeze sauti?
Hizo ni miongon mwa elements za dunia, ambazo huweza tumika kufiksha ujumbe, command au Code. Kulingana na nature ya mtu kila mtu yuko connected kirahisi au kwa ufanisi na element fulani.

Mfano ukiafatilia watu wa Libra, wako connected na Air, tabia za hewa zina julikana . Ni watu wa diplomasia sanaa, wanapenda haki. Utakuta huyu akienda kuroga au kurogwa utakuta anaambiwa kufunga dawa kwenye upepo ininginie, mwenye fire element, utakuta anaambiwa kachome hizi dawa, water ataenda kuogea.

Movie directors wanajua sanaa hizi codes , fatilia movie ya The LAST AIRBENDER utapata kuelewa hayo. Au series ya movie za X-Men utakutana na madude humo.
 
Habari za asubuhi ndugu na marafiki!

Kupevuka kiakili ni kuyajua ya Ulimwengu!

Dini karibu zote pia zinatumia sehemu ya formula. hii ya Ulimwengu ambayo kuijua siyo lazima usali dini zilizokuja afrika kwa majahazi na meli!

Nitaufupisha Uzi huu kwa maelezo machache kwani somo hili ni pana sana kulielezea kwenye Uzi mmoja!

Ninaposema maisha ni formula maana yake kuzaliwa ni formula, kukua ni formula, kupata ni formula, kukosa ni formula, kuoa/kutoolewa ni formula, kufa ni formula n.k
Kuna watu ukiwaambia mambo haya hukejeli nakusema ni uwongo, huwa sibishani nao kwasababu wanakuwa hawajapevuka kiakili bado!

Mfano! Kila mtu anapozaliwa hutakiwa kuishi msingi maalum wa fomula ambao ni msingi wa mafanikio yake, mathalani Mtu anazaliwa akiwaamepangiwa fomula kwamba hatakiwi avuke daraja fulani la elimu ili afanikiwe lakini yeye kwa kutokujua anafeli mara ya kwanza lakini anarudia tena na tena!

Lakini kwakuwa formula ya ushindi ina siku na saa maalum kwa ajili yake inapotokea anashinda ili kupanda daraja la juu lazima huko mbeleni hafanikiwi kwa daraja la juu bali linalompa ushindi na kula yake ni lile la chini kabisa!
Mfano msanii flani wa tandale angekomaa na shule asingetoka!

Formula ya Ulimwengu ilikuwepo tangu Ulimwengu! Hii formula ndiyo ilitumiwa na watu wa kale kuishi, wajanja wakaigeuza na kujimilikisha kama sehemu ya dini na ibada! Lakini hata hivyo hawaitimizi kama inavyopaswa kuwa!

Formula ya Ulimwengu ni ngumu na inahitaji moyo mgumu sana kuifuata na machoni inaweza kuonekana kuwa na matokeo ya kikatili sana!
Mfano! Muda wako kupokea hela unaweza ukawa umepangwa kwamba siku na saa! Lakini hutakiwi kujamiiana saa kadhaa kabla, unalala vizuri na mkeo ukimgusa mapema anasogea ukutani, ajabu saa kumi na mbili asubuhi muda wa kuwahi dili lako ghafla anaanza kukutega na kutaka mfanye! Ukiingia mkenge ukafanya unakuwa umekiuka fomula ukienda kwenye dili lako unakuta aliyetakiwa kukupa pesa anakwambia kapata dharula kubwa ghafla (kumbe ni fomula umekosea)

Nitawapa mfano. Mwingine wa kijinga!
Kuna baadhi ya wanaume wanaweza kushuhudia kuwa anapotoka kufanya ngono na mwanamke mmoja ni rahisi sana kukubaliwa na mwingine endapo atatongoza ndani ya lisaa lile lile hahah hapo nimetania wanaume msilibebe!

Ukiona familia zinasherekea harusi nyingi Mara kwa mara formula inasema familia hiyo wako mbioni kukusanyika kwa msiba siku si nyingi (ni formula)

Ukiona ndoa imesambaratika vipande hiyo siyo wao bali ni formula inakuwa imewatawanya kwa maslahi yao kwa amani la sivyo wakikomaa hakuna kitachofanyika na zaidi inaweza kuwa lango la kuzimu (hii ni formula)

Ndiyo maana huwa nawaambia watu jitahidi sana kuijua siri ya formula iliyowasambaratisha kabla ya kumfanya huyo aliyekuwa kwenye ndoa kuwa wako! Ijue kwanza ndo usonge!

Naposema ndoa simaanishi lazima iwe hii ya makanisani, jiulize kwani kabla ya kuja dini huko zamani watu hawakuoana?

Haya mambo ya makanisani na msikitini ni fasheni tu ya siku hizi lakini ndoa ni kile kibari cha wazazi kwamba watoto wao wameridhiana kwenda kuishi maisha yao!

Ndiyo maana kwenye maandiko hutakaa uone kwamba (walifika kanisani au msikitini kuoana) Kikubwa imeandikwa kuwa FULANI AKAMJUA FULANI WAKAMZAA FULANI (hii ni ndoa)

Kwahiyo haya mambo ya ndoa kanisani ni mambo Leo tuliyoyaiga Mimi na wewe lakini hayaongezi kitu Bali uhalibifu kwenye formula ya Ulimwengu!

Ni mbinu za yule muovu ili kuisambaratisha dunia ili watu wasijitambue na wajione wakosefu sana kumbe hawana kosa lolote!

Hivyo ukiona mdada mzuri sana umri unakwenda hajaolewa usikurupukie rudi kwenye fomula, ukiona jamaa anapesa na mali hana mke usikurupuke kuna fomula! Ukiwa mkaidi utachokutana nacho utalia na wa kwenu kwa kuikosa fumula

Formula ya Ulimwengu inataka umakini mkubwa sana hasa kwenye maamuzi makubwa!

Mfano! Taifa letu linatawaliwa kwa Awamu; Awamu ya kwanza ni nguvu ya uanzilishi, ya pili,ya tatu....lakini Awamu ya tano ni ya mwendo na mbiyo nyingi lakini siyo salama!

Magari mengi na ajali nyingi hupatikana kwenye gia namba tano! Rais wetu alikufa akiwa madarakani kwenye kasi awamu ya tano!
Utawala wa Sita ni mwanzo mwingine ni utawala wenye kasi ndogo lakini imara sana ni kama gari inapoanza mwendo!

Hivyo kwa fomula ya Ulimwengu Awamu ya sita mambo yatakwenda taratibu sana hadi kuja kuchanganya tena ni mpaka huko awamu ya nane,tisa ambapo kwasababu kutakuwa na katiba mpya! Utawala wa awamu ya kumi utakuwa na kasi kubwa sana ya maendeleo lakini nao utasambaratishwa kwa maamdamano ya wapinzani kwasababu wakati huo katiba itakuwa inaruhusu mambo hayo na majeshi yatakuwa huru!

Mfano kuna watu huwa wanasema majeshi yetu hasa vitengo vya polisi, PSU n.k kwamba vina watu wa kawaida kwasababu kwenye media wanaotokeza wanaongea kawaida!

Lakini ukweli kwa ndani kabisa tembelea hapo makao makuu ya majeshi, makao Jwtz , ngerengere, intapol n.k unakuta kuna watu ni vichwa balaa! Yaani wamebobea kiasi unajiuliza Huyu angekuwa mkuu mambo yangenyooka! Lakini tatizo fomula ya Ulimwengu haimtaki!

Jana mapema kabla ya mechi niliweka Uzi humu ukielezea vile Argentina watautwaa ubingwa kwa msaada wa nguvu ya Ulimwengu iliyokuwa imefichwa kwenye masaa,tarehe, siku na mwaka!
Masaa ya ushindi wa ARGENTINA yalikuwa ni yale tu yanayogawanyika kwa mbili, saa 12 jioni huko ulaya na amaerika nguvu ya Ulimwengu ilikuwa inatoka ulaya kwenda amerika! (Ni kama mteremko)

Ndiyo maana ilipofika saa moja upepo ulibadilika maana nguvu ya upepo iligeuka kwakuwa masaa ya nguvu kwa ufaransa ilikuwa saa moja, tatu na tano kwa tarehe ya jana ( siyo kila siku) ilipofika saa 2 kamili upepo ukarudi tena amerika kusini! Hapo wafaransa hata kama golikipa wa argentina angetoka golini wasingeshinda!

Nguvu ya Ulimwengu ndo nguvu kubwa kuliko zote!
ukiijua fomula ya Ulimwengu hutaumizwa, ni rahisi kutegua mtego, ni rahisi kufanya maamuzi kwa wakati sehemu sahihi!
Hujawahi kujiuliza kwanini kuna kipindi vichaa wanakuwa wengi na kuna wakati wanapungua?

Kuna tarehe ambazo hutakiwi kabisa kuanzisha au kwenda kwenye vita na ukitia mguu unapasuka!

Unaweza kushangaa kabisa bondia mkubwa na baunsa mkubwa akapigana na mtu mwenye mwili kama mkurugenzi wa JF #melo na akamdunda! Watu wasielewe Melo kashindaje!

Kumbe anakuwa kapiga kwa msaada wa nguvu ya Ulimwengu

Somo hili litaendelea! Maisha ni fomula kupata au kukosa ni fomula!
Kiufupi maisha ni kama Quadratic Equestion lazima kuwe na Neno "OR" katikati🤚
 
Hizo ni miongon mwa elements za dunia, ambazo huweza tumika kufiksha ujumbe, command au Code. Kulingana na nature ya mtu kila mtu yuko connected kirahisi au kwa ufanisi na element fulani.

Mfano ukiafatilia watu wa Libra, wako connected na Air, tabia za hewa zina julikana . Ni watu wa diplomasia sanaa, wanapenda haki. Utakuta huyu akienda kuroga au kurogwa utakuta anaambiwa kufunga dawa kwenye upepo ininginie, mwenye fire element, utakuta anaambiwa kachome hizi dawa, water ataenda kuogea.

Movie directors wanajua sanaa hizi codes , fatilia movie ya The LAST AIRBENDER utapata kuelewa hayo. Au series ya movie za X-Men utakutana na madude humo.
Umeongea jambo kubwa sana mkuu
 
Upuuzi mtupu unaumiza ubongo kwa fikra zisizo kuwa na research ya hazina kichwa Wala miguu, formula zako ni zero kila ulichoandika ni abstract not concrete.
Everything is abstract, sema hivo concrete vile tu our mind imeweza ngamua , siku zinavyoenda vingi vinagundulika ni halisi.
 
Everything is abstract, sema hivo concrete vile tu our mind imeweza ngamua , siku zinavyoenda vingi vinagundulika ni halisi.
Wazee zamani waliomba mvua kwa fomula ya Ulimwengu! Na ilijibiwa kwa wakati!
Hata baadhi ya wanyama wanaoishi na binadam waliletwa kwa ajili ya kumsaidia mwanadam kung'amua mambo mapema! Ni kama alarm!

Wanyama kuzaliana ilikuwa taarifa ya jambo na wanyama kufa ilikuwa taarifa ili anaeitafisiri ajiandae!

Hata wakati wa farao waliamuliwa kuchinja na kupaka damu mlango ile ilikuwa fomula!
 
Wazee zamani waliomba mvua kwa fomula ya Ulimwengu! Na ilijibiwa kwa wakati!
Hata baadhi ya wanyama wanaoishi na binadam waliletwa kwa ajili ya kumsaidia mwanadam kung'amua mambo mapema! Ni kama alarm!

Wanyama kuzaliana ilikuwa taarifa ya jambo na wanyama kufa ilikuwa taarifa ili anaeitafisiri ajiandae!

Hata wakati wa farao waliamuliwa kuchinja na kupaka damu mlango ile ilikuwa fomula!
Naomba kujifunza huu ujuzi
 
Hizo ni miongon mwa elements za dunia, ambazo huweza tumika kufiksha ujumbe, command au Code. Kulingana na nature ya mtu kila mtu yuko connected kirahisi au kwa ufanisi na element fulani.

Mfano ukiafatilia watu wa Libra, wako connected na Air, tabia za hewa zina julikana . Ni watu wa diplomasia sanaa, wanapenda haki. Utakuta huyu akienda kuroga au kurogwa utakuta anaambiwa kufunga dawa kwenye upepo ininginie, mwenye fire element, utakuta anaambiwa kachome hizi dawa, water ataenda kuogea.

Movie directors wanajua sanaa hizi codes , fatilia movie ya The LAST AIRBENDER utapata kuelewa hayo. Au series ya movie za X-Men utakutana na madude humo.

Aye aye Captain. Thanx, kuna mambo nayafahamu kidogo lakini kutokana na kifaa nnachotumia inaniwia vigumu kuandika kwa kirefu zaidi. ntajitahidi kuandaa kitu ktk PC na ntachangia kile nielewacho kuhusu, namba, na hizo element nne ambazo umezizungumzia vizuri Mkuu. ntakuja kuongezea tu watu wanatakiwa kufanya nini ili wawe kama Wahindi. unajua wahindi wanatumia hizi formula? mtu anauza penseli na zipu na vishikizo lakini anakula good times, ni codes tu. ambazo kila mtu akizingatia kuna wepesi ndani yake. najua lakini cjui ni nini kinanifanya kuwa mpuuziaji.
 
Back
Top Bottom