Maisha ni fomula ya ulimwengu ikiwemo kupata au kukosa

Umezunguka mno na kuwachosha wasomaji lakini ingetosha tu kusema haya:
1. Nguvu pekee iliyopo ni Mungu
2. Dunia inaendeshwa kwa fomula/sheria/kanuni sawa kabisa na 1+1=2 na ukiipatia formula lazima ufanikiwe na ukikosea lazima upoteze. Hapa ndipo penye shida kubwa, unakuta mtu anataka kuwa rubani lakini kusoma hataki, mtu anataka kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini mfujaji wa mali. nk.
3.Ili ufanikiwe nidhamu ni muhimu. Lazima uzitambue kanuni au fomula na uzifuate.

Kwa ufupi ni hayo.
 
Mkuu umenena vema
 
Hahah masharti yake utayaweza! Ni magumu lakini wenye moyo mgumu wanayaweza
Sio kweli, ni kwamba watu hawana nidhamu tu na wanachotakiwa ni kujua fomula na kuifuata kwa nidhamu.

Tatizo mnawajaza watu mambo ya makafara na kuua watu wakati ni upumbavu mtupu.
 
Sio kweli, ni kwamba watu hawana nidhamu tu na wanachotakiwa ni kujua fomula na kuifuata kwa nidhamu.

Tatizo mnawajaza watu mambo ya makafara na kuua watu wakati ni upumbavu mtupu.
Kafara ni kwa waliokosea fomula!

Fomula haina kafara ni nguvu halisi ya Ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…