Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #41
Huu ukichaa. Gari ya 94 ni miaka 30 ujue.Hakuna mpya. Zote za zamani. Carina zilianza kutengenezwa 1970 hadi 2001 zilipokuwa succeeded na Allion (Japan) na Avensis (Europe). Kwa Beforward leo, Carina T.I My Road ya 99 ni $4000 (roughly 10mil) na ya bei nafuu ni ya 94 ($3500). TRA kwa hiyo ya 99 wanataka 7.2mil. Andaa 18mil hapo zikiwemo charges za bandarini.