Huu ukichaa. Gari ya 94 ni miaka 30 ujue.Hakuna mpya. Zote za zamani. Carina zilianza kutengenezwa 1970 hadi 2001 zilipokuwa succeeded na Allion (Japan) na Avensis (Europe). Kwa Beforward leo, Carina T.I My Road ya 99 ni $4000 (roughly 10mil) na ya bei nafuu ni ya 94 ($3500). TRA kwa hiyo ya 99 wanataka 7.2mil. Andaa 18mil hapo zikiwemo charges za bandarini.
Na ni ukichaa kweli, si kidogo. Na pesa ni nyingi.Huu ukichaa. Gari ya 94 ni miaka 30 ujue.
Hawana vyanzo vingine vya mapato. Lazima wawakamue wananchi wake ili wapate hela ya kununulia V8.Tz
Gari hadi bandarini million 7 hadi 12
Kodi million 8 had 15 😊
Hv crkali bado hawapend tumilk magari.
Inasikitisha snTz
Gari hadi bandarini million 7 hadi 12
Kodi million 8 had 15 😊
Hv crkali bado hawapend tumilk magari.
DuhHakuna mpya. Zote za zamani. Carina zilianza kutengenezwa 1970 hadi 2001 zilipokuwa succeeded na Allion (Japan) na Avensis (Europe). Kwa Beforward leo, Carina T.I My Road ya 99 ni $4000 (roughly 10mil) na ya bei nafuu ni ya 94 ($3500). TRA kwa hiyo ya 99 wanataka 7.2mil. Andaa 18mil hapo zikiwemo charges za bandarini.
Ungemalizia ukimpa fundi mchundo lazima uwanze kuliaBMW mnyama ni above next level
Huko benz v class ile ya umeme, ama zile za diesel za 1.6 na 1.7 zimesimamaje na je alphard(vellfire) ayh30 ama ath20 hybrid zinapatikana na bei ngapi?Hizo gari South Africa, Botswana au Namibia nanunua kwa less than 6m.
Ngoja aje. Me atanitafutia pikipiki aisee.Huko benz v class ile ya umeme, ama zile za diesel za 1.6 na 1.7 zimesimamaje na je alphard(vellfire) ayh30 ama ath20 hybrid zinapatikana na bei ngapi?
Isanga family
South Africa hawana Toyota Alphard/Vellfire wana Toyota QuantumHuko benz v class ile ya umeme, ama zile za diesel za 1.6 na 1.7 zimesimamaje na je alphard(vellfire) ayh30 ama ath20 hybrid zinapatikana na bei ngapi?
Isanga family
Shukrani, hizi hazitanifaa sababu lengo langu nipate hybrid lakini iwe MPV jamii kama alphard, elgrand kule kwa nissan etcSouth Africa hawana Toyota Alphard/Vellfire wana Toyota Quantum