KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Picha ya kwanza
ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka. #Life is a very short Journey. Stay kind and be safe.