Duniatunapita man
Senior Member
- May 5, 2024
- 181
- 252
Ni sahihi,. Na hapo kama mwenyezimungu atatupa umri,. Vinginevyo tunaondoka na ujana hivihivi. Wangapi wameondoka wakiwa watoto au vijana? Wanaofikia uzee ni wachache sanaNa miaka 30 tu ijayo, wote ambao sasahivi unawaona watu wazima kuanzia viongozi serikalini, watu wazima wote unaowasalimia shkamoo, wajomba, mashangazi, baba wakubwa, wasanii maarufu, nk wote watakua hawapo! Wewe ndio utakua unaitwa babu.