Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia interval ya muda ni kama miaka 40 na ukiangalia original picture ya mwaka 1958 walikua tayari ni watu wazima wa 30+ hadi 40+ hivyo 40 years later tayari walikua ni wazee, watu wazima sana hivyo ni lazima wangine wawe wametangulia.View attachment 3102734
Picha ya kwanzailipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka.#Life is a very short Journey. Stay kind and be safe.
Na miaka 30 tu ijayo, wote ambao sasahivi unawaona watu wazima kuanzia viongozi serikalini, watu wazima wote unaowasalimia shkamoo, wajomba, mashangazi, baba wakubwa, wasanii maarufu, nk wote watakua hawapo! Wewe ndio utakua unaitwa babu.Mkuu maisha ni mafupi sana... Ngoja nikupe kisa kimoja hapa ujue maisha ni mafupi sana....
Mimi nakumbuka enzi nasoma shule karibia Kila likizo nilikua naenda kuwatembelea Babu na bibi yangu kijijini... Ile moment nilikua na-enjoy sana Kwa sababu tulikua tunaishi communally yaani wale agemate wangu pamoja na bibi zao na wengine... Nakumbuka last time nimemaliza form six 2009 pia nikaenda kuwatembelea wazee kule kijijini nilikaa sana mpaka matokeo yakatoka nikaenda chuo mpaka Leo mi ni mtu mzima Niko na maisha yangu..
Sasa mwezi wa 11 mwaka Jana(2023) nimeenda kule kijijini Kwa wazee wangu, nime-note kitu kikubwa kilichonishangaza... Wale wote ambao generation yangu walikua ndo Babu na bibj zetu wote washakufa... Sasa wewe just imagine hiyo 2009 nimemaliza form six Leo 2024 wale wote tuliokuwa tunawa-consider kama Babu na bibi washatangulia mbele za haki...
Mkuu umemaliza kila kitu... Inafikirisha sana..Na miaka 30 tu ijayo, wote ambao sasahivi unawaona watu wazima kuanzia viongozi serikalini, watu wazima wote unaowasalimia shkamoo, wajomba, mashangazi, baba wakubwa, wasanii maarufu, nk wote watakua hawapo! Wewe ndio utakua unaitwa babu.
Halafu wengine hapo walikuwa watu wazima.58-96 Ni pafupi kweli?
hapo hata mimi napata mashaka.watoto wamefariki wote
Una uhakika hao waliokaa chini mstari wa mbele hio 1996 hakuwepo hata mmoja?View attachment 3102734
Picha ya kwanzailipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka.#Life is a very short Journey. Stay kind and be safe.
Siyo kuwa ni hao wazee!?watoto wamefariki wote
Watoto waliokaa chini na dirishani...wametangulia woteSiyo kuwa ni hao wazee!?
Naimewaza ivo au labda walipotezana nao Mawasiliano.Ina maana 38yrs hao madogo waliokaa hapo chini wote wame RIP sidhani
Imagine leo hii wale wababe tunaowasoma kwenye biblia like Goliath na wengine wangekua bado wako hai dunia ingekuaje?Na mwanadam alivyokuwa jeuri
Anguished milele dunia kungewa na tabu mara milion za tabu zilizokuwepo sahv
Kuna watu sahvi tu wanaishi wanajiona mounfu watu ndomana wakikaribia kukata roho
Huwa wana weweseka sana
Ova