Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936


Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka. #Life is a very short Journey. Stay kind and be safe.
 
Ujumbe umfikie Saa 100
 

1. 1958
2.1996
3.Huenda hakuna mtu
 
Imekuaje wazee baadhi wako hai mpaka leo ila hao walokua watoto ndo hawapo wote? Una uhakika wamekufa au ni kusambaratika tu katika harakati za maisha?
Hao madogo wa chini walikuwa nobody na picha ya pili wamewakata tu, na Kuna wengine madirishani wamekatwa tu na dirisha limefungwa, hapa targeted ni somebody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…