Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

Na miaka 30 tu ijayo, wote ambao sasahivi unawaona watu wazima kuanzia viongozi serikalini, watu wazima wote unaowasalimia shkamoo, wajomba, mashangazi, baba wakubwa, wasanii maarufu, nk wote watakua hawapo! Wewe ndio utakua unaitwa babu.
Ni sahihi,. Na hapo kama mwenyezimungu atatupa umri,. Vinginevyo tunaondoka na ujana hivihivi. Wangapi wameondoka wakiwa watoto au vijana? Wanaofikia uzee ni wachache sana
 
We acha tuu mkuu,juzi niliugua nikajua Sasa huku ndio kukata moto!Hela niliificha Sehemu mwenyewe niliionyesha ili waniwahishe hospital,kwa kweli Namshuru sana Mungu.
 
Hao madogo wote walikata moto mzee??
Hata hivyo hao waliosimama umri ulikua ushaenda hadi apo 1958 kwa haraka haraka wote walikua above 20 yrs.
 
Ama Hakika
 
Hao madogo wa chini walikuwa nobody na picha ya pili wamewakata tu, na Kuna wengine madirishani wamekatwa tu na dirisha limefungwa, hapa targeted ni somebody
Nani huyo?
 

Najua nia yako ni njema ya kuelimisha ILA
mbona kama huyo mtu aliyekaa hapo chini mbele, yule wa mwaka 1958 ni mzee kuliko huyu wa 1996
 
Me nitakuwa na 74 aisee naweza kuwepo inshaallah...ila nitakuwa yatima.
Mungu akusaidie

Sisi wengine tutakuwa makaburi tupu, na iwapo tutazikwa sehemu zenye migogoro basi hata makaburi yetu yatakuwa yamehamishwa au kupotea kabisa 😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…