MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina makubwa hapa mjini.
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka mzee Bakhresa na Lembabaz