Maisha ni safari ndefu, Lemutuz na GSM na urafiki wao wa zaidi ya miaka 40

View attachment 2265791
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
View attachment 2265792

Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina makubwa hapa mjini.
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka mzee Bakhresa na Lembabaz
Le Mutuz ni chawa tu hana hata umilionea sembuse ubilionea
 
Anakula nayo middle mpaka kesho, unapiga muziki hatari utadhani gari ya matangazo ya Twanga Pepeta maana anapenda mabolingo kinyama.
🤣Hahahaha, alikuaga anaiita le super noah'z ,ila yule Mzee Ni burudani aise
 
Kuongezea nyama tu, aliwekeza kwenye soft porn pia, pale alipotoa exclusive video yake ya utupu japo haikupata reception aliyodhamiria sababu maungo yake ya siri si rafiki sana kimtazamo wa size.
All in all, Le Mutuz ni akili kubwa anaemiliki penthouse downtown kwenye nyumba za msajili pamoja na Limited Edition Special version Toyota Noah, ambayo ni vintage ya mwaka 1997 iliyotengenezwa moja tu kwa ajili yake.
[emoji28] [emoji28]
 
Lemutuz bilionea kwa kumiliki blogu?
Mtu analelewa na baba yake leo unamuita bilionea seriously?
Hata kama ndio uhuru wa kutoa maoni,tafadhali acheni kusifia mambo ya kikoromije!!
 
Kitu hujajua hakuna u serious kwenye huu Uzi,mleta mada anapenda kumtania Le mutuz humu JF na sisi tunapenda kusoma utani huo
Hapa Ni sarcasm
 
View attachment 2265791
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
View attachment 2265792

Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina makubwa hapa mjini.
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka mzee Bakhresa na Lembabaz
Wazee wa Ukwasi wa baba, ila ndo ivo pesa ni pesa tu, ukishakua nazo unazo.
 
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka
Kweri kweri kweri kweri kweri
 
Nyie mazee mbona wamkandia Lemutuz wakati mwaka jana tuu alikuwa kwenye filam ya Dunes
 
Back
Top Bottom