MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Unaweza kunisaidia kunijuza baadi ya Biashara alizowekeza lemutuz
Kuongezea nyama tu, aliwekeza kwenye soft porn pia, pale alipotoa exclusive video yake ya utupu japo haikupata reception aliyodhamiria sababu maungo yake ya siri si rafiki sana kimtazamo wa size.Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari
🤣Nimecheka,hivi hiyo Noah Bado anaipost ?Kuongezea nyama tu, aliwekeza kwenye soft porn pia, pale alipotoa exclusive video yake ya utupu japo haikupata reception aliyodhamiria sababu maungo yake ya siri si rafiki sana kimtazamo wa size.
All in all, Le Mutuz ni akili kubwa anaemiliki penthouse downtown kwenye nyumba za msajili pamoja na Limited Edition special version Toyota Noah, ambayo ni vintage ya mwaka 1997 iliyotengenezwa moja tu kwa ajili yake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣DuhKuongezea nyama tu, aliwekeza kwenye soft porn pia, pale alipotoa exclusive video yake ya utupu japo haikupata reception aliyodhamiria sababu maungo yake ya siri si rafiki sana kimtazamo wa size.
All in all, Le Mutuz ni akili kubwa anaemiliki penthouse downtown kwenye nyumba za msajili pamoja na Limited Edition Special version Toyota Noah, ambayo ni vintage ya mwaka 1997 iliyotengenezwa moja tu kwa ajili yake.
Le mbebez ni bilionea au lakionea?View attachment 2265791
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
View attachment 2265792
Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina makubwa hapa mjini.
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka mzee Bakhresa na Lembabaz
WeeeeKuongezea nyama tu, aliwekeza kwenye soft porn pia, pale alipotoa exclusive video yake ya utupu japo haikupata reception aliyodhamiria sababu maungo yake ya siri si rafiki sana kimtazamo wa size.
All in all, Le Mutuz ni akili kubwa anaemiliki penthouse downtown kwenye nyumba za msajili pamoja na Limited Edition Special version Toyota Noah, ambayo ni vintage ya mwaka 1997 iliyotengenezwa moja tu kwa ajili yake.
Acha kumsagia kunguni.Lemutuz ni bilionea namba ngapi hapa bongo?
Umelogwa wewe si bure ,View attachment 2265791
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
View attachment 2265792
Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina makubwa hapa mjini.
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka mzee Bakhresa na Lembabaz
We jamaa una chuki binafsi na bilionea wetu wa bongo 😂Acha kumsagia kunguni.
Kuongezea anamiliki shati linaloweza kufunika vitz na bajaj kwa wakati mmoja