Maisha ni safari ndefu, Lemutuz na GSM na urafiki wao wa zaidi ya miaka 40

Le Mutuz ni chawa tu hana hata umilionea sembuse ubilionea
 
Anakula nayo middle mpaka kesho, unapiga muziki hatari utadhani gari ya matangazo ya Twanga Pepeta maana anapenda mabolingo kinyama.
🀣Hahahaha, alikuaga anaiita le super noah'z ,ila yule Mzee Ni burudani aise
 
[emoji28] [emoji28]
 
Lemutuz bilionea kwa kumiliki blogu?
Mtu analelewa na baba yake leo unamuita bilionea seriously?
Hata kama ndio uhuru wa kutoa maoni,tafadhali acheni kusifia mambo ya kikoromije!!
 
Lemutuz bilionea kwa kumiliki blogu?
Mtu analelewa na baba yake leo unamuita bilionea seriously?
Hata kama ndio uhuru wa kutoa maoni,tafadhali acheni kusifia mambo ya kikoromije!!
Kitu hujajua hakuna u serious kwenye huu Uzi,mleta mada anapenda kumtania Le mutuz humu JF na sisi tunapenda kusoma utani huo
Hapa Ni sarcasm
 
Wazee wa Ukwasi wa baba, ila ndo ivo pesa ni pesa tu, ukishakua nazo unazo.
 
Lemutuz ni bilionea mkubwa aliyewekeza kwenye mitandao ya kijamii na vyombo kadhaa vya habari huku mwenzie akiwa yuko Upande wa manufacturing na michezo.
Kesho pia tutawaletea walipotoka
Kweri kweri kweri kweri kweri
 
Nyie mazee mbona wamkandia Lemutuz wakati mwaka jana tuu alikuwa kwenye filam ya Dunes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…