Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
 
rip in advance Gentleman,
JF sijui utaacha nini zaid ya porojo tu 🐒
 
Biblia ni kitabu kimejaa stori na hadithi tu mkuu ambazo hazina ukweli.
Biblia imesema umri wa kuishi ni miaka sijui 70, na kuna watu wanaishi mpaka miaka 100 halafu bado mnaiamini Biblia
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Acha woga wewe

Mungu hayupo,wala shetani hayupo

Acha kua mtumwa wa jamii

Kua mtumwa wa wewe mwenyewe na familia yako,wanajamii kila mmoja ajitegemee.

Acha woga,mali zote achia watoto wako,achana na jamii,jamii ni wasenge kabisa,mapumbavu kabisa usitoe hata mia kuhudumia majinga yanayoitwa jamii
 
Biblia ni kitabu kimejaa stori na hadithi tu mkuu ambazo hazina ukweli.
Biblia imesema umri wa kuishi ni miaka sijui 70, na kuna watu wanaishi mpaka miaka 100 halafu bado mnaiamini Biblia
Mwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..

Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.

Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Pumzika Kwa Amani Kamanda...

...namaanisha pumzika kuandika!!

..Ni Hayo Tu!!
 
Rest InPeace Buddy.
.

..Ni Hayo Tu!!
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Ukiwa na nguvu ni 80.. Lakini hii ni miaka ya Biblia
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Ndo basi tena umebakiza miaka 19 na miezi isiyozidi 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…