Maisha ni ubatili! Mnataka kusema sisi wenye miaka 50 tumebakisha miaka 20 kuondoka hapa duniani kama umri wa Biblia unavyosema?

Eeeh braza....... Najua uzee una raha utakuwa kama memories kwa watu Ila zaidi itakuwa shida ukiwa mgonjwa au upoteze kumbukumbu.... Itakuwa kuwapa wengine kazi.....

Nikijaaliwa 70 iz enough
Yeah, kufa ukiwa bado unanakili timamu usije ukawapa watu mateso na kuwaachia maana.
 
Now I'm doing 50+

Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70

Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.

Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Yaani hata ukiendelea kuishi baada ya 70 mwili utagoma kufanya baadhi ya kazi...kifupi maisha baada ya 70 huwa yameshaisha hata kama utaendelea kuwepo Duniani.
 
Hongera zake.
Vipi mumewe yupo!?
Mwenye siredi inaonesha ni Jinsia ya 'me'. Huwa huku Afrika tunaungaunga sana baada ya 60yrs, japo kwa wenzetu ndio kwanza wanafikiria kugombea ukuu wa nchi.
Mumewe kamuacha juzijuzi tu.i mean katangulia
Ila ninachoamini umri mrefu ni aina ya Maisha utayoamua kuishi,pia inategemea na ungangari wa afya yako
 
Mtume Muhammad SAW amesema umri wetu hapa duniani ni miaka kati ya 60 na 70 na akasema ni wachache wanaovuka hapo. Yaani ni wachache wataishi baada ya 70 years.

Sasa usiwasikilize wajinga humu ambao wanakwambia hakuna Mungu. MUNGU yupo.
Anza kujiandaa na kifo kwa kuongeza matendo mema na kupunguza maovu. Na sote tuombe msamaha kwa makosa yetu.
Mwenyezi Mungu akupe afya njema
 
Usiogope mzee,miaka 20 kwa maisha ya binadamu ni mingi sana Mungu akijaalia.Ndani ya miaka 20 kunakuwa na mabadiliko mengi sana ya kijamii,kisiasa,kiuchumi na kiutamaduni hivyo ukijaaliwa kuifikisha hiyo 70 hutakuwa na cha kupoteza tena na utaona ni kitu cha kawaida kufariki.Najua kwa sasa una FEAR OF UNKNOWN(kifo)
 
Acha kujipa stress na vitu usivyo na uwezo wa kuvicontrol.Maisha ni probability/ kamari.

Ukiangalia tangu mbegu ya kiume inavyopitia pirikapirika mpaka kukutana na yai la kike. Kwa hakika kwa yoyote mwenye AKILI TIMAMU huna budi kuacha kujipa presha na vitu usivyoweza kuvicontrol.

Huna legacy ya kuacha kwasababu ili uache legacy inabidi ufanye kitu cha ajabu sana( AJABU KWELIKWELI) cha kuishangaza dunia,Sasa wewe na miaka yako 50 unataka uache legacy gani.Ushajichokea mzee wewe cha kukushauri kama hukulaga mademu wakali wakati upo kijana huo ndo umri wa kulipiza angalau ufaidi kidogo.

Usiwasikilize wajingawajinga wasio na uwezo mzuri wa kufikiri. Ukisoma vitabu vya dini unapata kuona kuwa hata huko mbinguni watu wanaahidiwa ngono na pombe na vyakula🤗 sasa kwanini ujinyime wewe mzee jiheshimu.

Kama wewe sio mdau wa ngono basi zunguka hii dunia kama Vasco da Gama, kula vacation atleast kila mwaka nenda nchi mbalimbali hata hapahapa africa ili ujionee uzuri wa dunia.

Ukibahatika kufa basi huna haja ya kuhofia kitu maana hata ulipokuwa tumboni kwa mamako ulikuwa hujui vhochote.Mzee relax🤗🤗🤗 kufa kulala hizo stori za kwenye dini ni hadithi kama hadithi nyingine ni vile tu wajanja walizipa umuhimu kiasi kwamba watu wanaona zinamaajabu ila ni kama tu hadithi za sungura na fisi tulizosimuliwa na mashangazi na mabibi zetu.

#maisha ni kamari, mkamaria tulia tuli wacha mawenge!
 
Mwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..

Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.

Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
Mkubwa heshima yako, tukipata hata watu 100K wanaofikiri nje ya box kama wewe.

Tutaweza kupunguza wale matahira wanaojikusanya kuombewa na MATAPELI wa imani ili wapate unafuu wa maisha na kutaka kucontrol visivyo wezekana tutapiga hatua kama nchi😄😄😄

Kudos,huwa nafurahi sana nikiona comment za akili kama hizi🙏
 
Acha woga wewe

Mungu hayupo,wala shetani hayupo

Acha kua mtumwa wa jamii

Kua mtumwa wa wewe mwenyewe na familia yako,wanajamii kila mmoja ajitegemee.

Acha woga,mali zote achia watoto wako,achana na jamii,jamii ni wasenge kabisa,mapumbavu kabisa usitoe hata mia kuhudumia majinga yanayoitwa jamii
Ni kweli na mifano ipo kuna watu waliacha kusomesha watoto wao vizuri wakasaidia ndugu zao ila saivi wapo wanalia na kusaga meno.

Hii dunia inakanuni zake na kama huna akili ukawa unazivunja bila kujua au kwa kujua lazima upate payback.

Jiwekeze wewe na watu wako wa karibu enjoy life.Maisha haya huwezi kuishi zaidi ya makadirio yako.

Maisha ni kama daladala huwezi ukapanda ukagoma kushuka wewe unazunguka tu na daladala😄😄😄ukifika kituo chako shuka maana hiyo siti( oxygen) kuna mwingine anatakiwa kuzaliwa immediately anasubiri ukate moto umuachie oxygen yake😄😄😄 sasa kama hutaki kufa unataka wanaozaliwa huko mahospitalini waishije.

Na huu ndo ubinafsi tulionao waafrica hatutaki na wengine wapate, ubinafsi huuhuu ndo umepelekea leo hii watu wanaiba na kujilimbikizia mali wakati duniani sisi wote wapitaji.

#Mda wa kufa ukifika, achia siti kuna watu bado wanaendelea na safari wanahitaji kukaa🤝
 
Acha kujipa stress na vitu usivyo na uwezo wa kuvicontrol.Maisha ni probability/ kamari.

Ukiangalia tangu mbegu ya kiume inavyopitia pirikapirika mpaka kukutana na yai la kike. Kwa hakika kwa yoyote mwenye AKILI TIMAMU huna budi kuacha kujipa presha na vitu usivyoweza kuvicontrol.

Huna legacy ya kuacha kwasababu ili uache legacy inabidi ufanye kitu cha ajabu sana( AJABU KWELIKWELI) cha kuishangaza dunia,Sasa wewe na miaka yako 50 unataka uache legacy gani.Ushajichokea mzee wewe cha kukushauri kama hukulaga mademu wakali wakati upo kijana huo ndo umri wa kulipiza angalau ufaidi kidogo.

Usiwasikilize wajingawajinga wasio na uwezo mzuri wa kufikiri. Ukisoma vitabu vya dini unapata kuona kuwa hata huko mbinguni watu wanaahidiwa ngono na pombe na vyakula🤗 sasa kwanini ujinyime wewe mzee jiheshimu.

Kama wewe sio mdau wa ngono basi zunguka hii dunia kama Vasco da Gama, kula vacation atleast kila mwaka nenda nchi mbalimbali hata hapahapa africa ili ujionee uzuri wa dunia.

Ukibahatika kufa basi huna haja ya kuhofia kitu maana hata ulipokuwa tumboni kwa mamako ulikuwa hujui vhochote.Mzee relax🤗🤗🤗 kufa kulala hizo stori za kwenye dini ni hadithi kama hadithi nyingine ni vile tu wajanja walizipa umuhimu kiasi kwamba watu wanaona zinamaajabu ila ni kama tu hadithi za sungura na fisi tulizosimuliwa na mashangazi na mabibi zetu.

#maisha ni kamari, mkamaria tulia tuli wacha mawenge!
Ujumbe kuntu,mtoa mada chukua madini haya
 
Hii comment imemaliza Kila kitu👍
 
Back
Top Bottom