Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Eeeh braza....... Najua uzee una raha utakuwa kama memories kwa watu Ila zaidi itakuwa shida ukiwa mgonjwa au upoteze kumbukumbu.... Itakuwa kuwapa wengine kazi.....Kwangu Mimi pia 70 itapendeza.
Yoyote unamaanisha hata ya kupigwa tukio?namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Yeah, kufa ukiwa bado unanakili timamu usije ukawapa watu mateso na kuwaachia maana.Eeeh braza....... Najua uzee una raha utakuwa kama memories kwa watu Ila zaidi itakuwa shida ukiwa mgonjwa au upoteze kumbukumbu.... Itakuwa kuwapa wengine kazi.....
Nikijaaliwa 70 iz enough
Exactly km wabongo hatushindwi sema unadharauliwaYeah, kufa ukiwa bado unanakili timamu usije ukawapa watu mateso na kuwaachia maana.
Yaani hata ukiendelea kuishi baada ya 70 mwili utagoma kufanya baadhi ya kazi...kifupi maisha baada ya 70 huwa yameshaisha hata kama utaendelea kuwepo Duniani.Now I'm doing 50+
Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70
Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani.
Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na jamii na kuangalia namna ya kuacha legacy yoyote ile.
Iko wazi mkuu.Exactly km wabongo hatushindwi sema unadharauliwa
Kabisa kabisa bwasheeIko wazi mkuu.
Ni hivyoKabisa kabisa bwashee
Mumewe kamuacha juzijuzi tu.i mean katanguliaHongera zake.
Vipi mumewe yupo!?
Mwenye siredi inaonesha ni Jinsia ya 'me'. Huwa huku Afrika tunaungaunga sana baada ya 60yrs, japo kwa wenzetu ndio kwanza wanafikiria kugombea ukuu wa nchi.
Mkubwa heshima yako, tukipata hata watu 100K wanaofikiri nje ya box kama wewe.Mwandishi aliangalia jamii yake kipind hicho akaona hawafikishi zaidi ya hapo .. Ila kuna nchi kama Japan miaka ya kufa inaanza zungumziwa kuanzia 85+ kwenda mbele..
Yaan kuna muda mambo ya dini yalikuwa yanalenga wahusika wa eneo hilo bila kuangalia upana wake na wakaamini ndo hivyo kwa wote.
Mfano waofunga kwa Rezma au Ramadhan ukitizama inalenga nchi ambazo majira yanasoma Sa 12 za mchana na sa 12 za usiku. Ila kuna miji au nchii ambazo jua halizami au jua halionekani zaidi ya miezi miwili jee watu kama hao watafungaje
Ni kweli na mifano ipo kuna watu waliacha kusomesha watoto wao vizuri wakasaidia ndugu zao ila saivi wapo wanalia na kusaga meno.Acha woga wewe
Mungu hayupo,wala shetani hayupo
Acha kua mtumwa wa jamii
Kua mtumwa wa wewe mwenyewe na familia yako,wanajamii kila mmoja ajitegemee.
Acha woga,mali zote achia watoto wako,achana na jamii,jamii ni wasenge kabisa,mapumbavu kabisa usitoe hata mia kuhudumia majinga yanayoitwa jamii
Ujumbe kuntu,mtoa mada chukua madini hayaAcha kujipa stress na vitu usivyo na uwezo wa kuvicontrol.Maisha ni probability/ kamari.
Ukiangalia tangu mbegu ya kiume inavyopitia pirikapirika mpaka kukutana na yai la kike. Kwa hakika kwa yoyote mwenye AKILI TIMAMU huna budi kuacha kujipa presha na vitu usivyoweza kuvicontrol.
Huna legacy ya kuacha kwasababu ili uache legacy inabidi ufanye kitu cha ajabu sana( AJABU KWELIKWELI) cha kuishangaza dunia,Sasa wewe na miaka yako 50 unataka uache legacy gani.Ushajichokea mzee wewe cha kukushauri kama hukulaga mademu wakali wakati upo kijana huo ndo umri wa kulipiza angalau ufaidi kidogo.
Usiwasikilize wajingawajinga wasio na uwezo mzuri wa kufikiri. Ukisoma vitabu vya dini unapata kuona kuwa hata huko mbinguni watu wanaahidiwa ngono na pombe na vyakula🤗 sasa kwanini ujinyime wewe mzee jiheshimu.
Kama wewe sio mdau wa ngono basi zunguka hii dunia kama Vasco da Gama, kula vacation atleast kila mwaka nenda nchi mbalimbali hata hapahapa africa ili ujionee uzuri wa dunia.
Ukibahatika kufa basi huna haja ya kuhofia kitu maana hata ulipokuwa tumboni kwa mamako ulikuwa hujui vhochote.Mzee relax🤗🤗🤗 kufa kulala hizo stori za kwenye dini ni hadithi kama hadithi nyingine ni vile tu wajanja walizipa umuhimu kiasi kwamba watu wanaona zinamaajabu ila ni kama tu hadithi za sungura na fisi tulizosimuliwa na mashangazi na mabibi zetu.
#maisha ni kamari, mkamaria tulia tuli wacha mawenge!
Hii comment imemaliza Kila kitu👍Acha kujipa stress na vitu usivyo na uwezo wa kuvicontrol.Maisha ni probability/ kamari.