Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

tuko imara watanzania wanatuamini kwa hilo mkuu na hatujawahi kuwangusha kwa hilo. ajira zina mwagika si mchezo mzunguko wa pesa ndio usizungumze, kaguzi za miradi ya maendeleo ndio habari ya dunia kwasasa hapa tanzania uliza mtu yoyote atakwambia ndugu
Mzee chama kina bebwa na individual personal??
👉Miradi gani ?, Toka jpm atutoke- Hakuna Cha maanana fanya 🤔.
👉Umeme Ume washinda, mme ishia kupigana majungu huko magogoni
 
Back
Top Bottom