Maisha ni yako, usikubali kutolewa mchezoni

Nakumbuka kipindi naanza kujitegemea kwenye biashara, nimepitia changamoto nyingi kidogo. Kuna watu hawakuamini kama mimi kwa umri wangu mdogo naweza kufikia malengo yale.

Maswali na wivu usiokuwa na maana yalitawala kwenye vichwa vya vijana wengi.
 
Watu hawana habarI na sisi tukiwa Masikini, ila ukitoboa kila mtu ata taka kukuzungumzia🤔
 
Nakumbuka kipindi naanza kujitegemea kwenye biashara, nimepitia changamoto nyingi kidogo. Kuna watu hawakuamini kama mimi kwa umri wangu mdogo naweza kufikia malengo yale.

Maswali na wivu usiokuwa na maana yalitawala kwenye vichwa vya vijana wengi.
Mti wenye matunda hupigwa mawe, tusi Kate tamaa ndugu.
👉 Mpapai hauli mapapai yake🙏
 
Back
Top Bottom