kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana
Siku zote Kipanya ni wa ovyo.
Ata TPF km unaifatilia unaona kabsa huyu anafaa na sio kisa ni mtz ndo lzm ashinde wakat haimbi vzr.Daaah!!
Watanzania mnazidi kuniskitisha, hivi hupendi mbongo mwenzako angekuwa na milion 30!!!
Hivi hao wakenya unawajua au unawaskia!! Sasa subiri maneno yao watakayo toa ukipata time tembelea twitter ndio utajua kwa nn hakuna haja ya kuwapa
Daaah!!Sasa mtu apewe ushindi kisa tu ni mbongo. Kura hazjatosha
mkuu hiyo tpf unayosema wabongo walikuwa hawashindi coz walikuwa wazembe na hawakuwa serious.Kenya waliandaa TPF hakuna mbongo aliyewahi gusa!!
Vitu vingine kama taifa tunajipa pande wenyewe tuu
Mimi hata sijui unasema nn bro nisaport wizi? si bora sasa show ingekua ya Watz pekee? Mtanzania mwenzangu kupata milion 30 sio hoja hoja ni je alideserve kupata hizo milioni 30? angekua kadhulumiwa ushindi sawa otherwise next time ni kukaza buti na kupiga kuraDaaah!!
Watanzania mnazidi kuniskitisha, hivi hupendi mbongo mwenzako angekuwa na milion 30!!!
Hivi hao wakenya unawajua au unawaskia!! Sasa subiri maneno yao watakayo toa ukipata time tembelea twitter ndio utajua kwa nn hakuna haja ya kuwapa
M naimani wamefata kanuni lakn kwa suala la kupiga kura kila siku watachkua wengne sisi tubabaki kugwaya gwaya kanuni mpya za mashindano zinahitajika kwa kweli kama wanachkua na wakeny wachkue wa mikoa yote ya kenya na uganda the sameKumbe Ni kugeana ??? Eti wamempa mkenya. Ingekuwa kila nchi ambayo inaanda shindano au tunzo inampa wa kwao nadhani kila kusingekuwa hata na Olympics
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Thubutuuu!!!
Watz wengi wanaendaga kuuza sura tu ni wavivu wa kufikiri na kuwa creative tutabakia kushinda bigbrother tu sababu ndo tunawezamkuu hiyo tpf unayosema wabongo walikuwa hawashindi coz walikuwa wazembe na hawakuwa serious.
tpf hawakuwa na upendeleo hata kidogo bali ni juhud tu na hata hao wakenya walishinda msimu mmoja tu na misimu mingine yote walishinda waganda mara mbili, wanyarandwa na warundi.....acheni kulalamika wabongo na msipoangalia wakenya watawashinda kwenye kila kitu shubaaaamit
Safari ya kulalamika kuonewa kila siku? . Inakua km eddy kenzo baada ya kukosa tuzo sasa.Daaah!!
Watanzania tuna safari ndefu, sasa
Hilo shindano nalo walipeke Kenya tuu.
Mi sijakubali, any way kwa kuwa mi sio muandaaji nawaachia wao.
Mshindi kutoka Uganda Davis alijinyakulia zaidi ya Tsh. 30,000,000/- huku akijipatia mkataba wa kurekodi Album na kampuni kubwa huko Afrika ya Kusini.Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia
Wamempa mkenya!! Upuuuuuzi huo
mkuu hawa wanaosema tpf walikuwa wanashinda wakenya sidhan kama walikuwa wanaifuatilia.....ktk season zote Uganda ndio waliongoza kwa kuchukua mara nyingi tena kila aliyeshinda alikuwa anadeserve kabisa....ktk maisha plus mwaka huu wakenya wote walikuwa serious tena walijipanga kushinda sio watz maneno mengi tena nonsense....Ata TPF km unaifatilia unaona kabsa huyu anafaa na sio kisa ni mtz ndo lzm ashinde wakat haimbi vzr.
Back to Maisha + eti kisa ni mtz ndo lazima ashinde? Kwanza 2mependelewa washiriki robo 3 watz. Kura hatupigi lakin wa kwanza kulaumu. Mimi ata kura sijui wanapiga vipi na nilikua naangalia. Watz wangap wana king'amuz cha azam km sio majority wana star times ambayo hawajui km kuna maisha +. Sio kila kitu cha kuonewa tu
Mkuu acha uongo mbona kwenye hilo shindano alishinda mnyarwanda na mkenya akawa wa pilli?Hapana
Ana deserve top 3,
Ila ushindi tungempa mwenzetu kwa kweli mi sjapenda.
Msechu aliendaga Kenya akionekana ana stahili kabsa lakini hakushinda wenzetu wanajua kujipa flag.
*ni mimi lakin na mawazo yangu hayo sja furahia