Maelezo yako hayaendani na kichwa cha habari...Ulitakiwa useme wameonyeshaje udhaifu huo..Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Wanatoa zawadi kwa mshindi bila kujali anatokea wapiSwali la kujiuliza, shindano hili lingefanyika Kenya, Je wakenya wangempa ushindi Mtanzania....jibu lake litaonesha kama akina Masoud wamekosea ama lah.
Sijakataa ndio maana nasema ukishinda kule ni Bahati mbayaKuna mwaka flani nadhani mwaka juzi mbona kuna waTanzania walishinda Sakata Africa mashariki?
bora ww mkuu umeongea kweli kuna mtu humu ndani anadai eti tpf ilikuwa inapendelea wakenya sidhan kama alikuwa akiangalia kweli au amesimuliwa tu....maana anaongea vitu ambavyo hata havijuiSie Wabongo ni wabaguzi sana... kwenye tusker project fame wakenya uwa wanamshangilia kila mshiriki sasa njoo kwa wabongo wanamshangilia mbongo mwenzao
haya ww mwenye uzalendo basi anzisha shindano lako halafu ushirikishe mataifa mbalimbali, kisha uwaambie kabisa kigezo cha ushindi ni lazima uwe mbongo.Kuna kitu umekikosea toka mwanzo
Unafuatilia comment zangu tuu, soma za wengine utaona wanakutajia aliyetakiwa ashinde.
Pili hata wewe ambaye unaona ana stahili hujasema anastahili kwa lipi.
Tatu, mkiletwa wakenya sio lazima mchukue, na masoud kalazimisha kuwapa, na kamnyima mbongo mwenzie. Na kwa hilo niko radhi nibishane hata na mshindi mwenyewe mkiniletea na nasisitiza wabongo hatupendani.
Hongereni lakini
Ni OliveNaomba kujuzwa huyo mdada alieshinda ni Nani?je ni olive?kama ndie anastahili kabisa tena kabisa tuache porojo za kuleta upendeleo...hivi kwa nini tuishi kiujanjaujanja tu hata kama hatustahili?pia nakubaliana na wanaosema alex alistahili kushinda ila je mlimpigia kura?mara ngapi?wakati wewe unampigia ufikirii kuna wengine pia walikua wanampigia huyo mshindi?
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.
Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.
KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Ndio nini tena hii?Asew yulw aloyce from dodoma alikuwa anastahili kabisa kuibuka mshindi sasa sijui ndo gender balance au dhana potofu ya kuwa wataonekana wanaupendeleo
Kwa kauli hizi bado mtazidi kulalamika wazungu wanawabagu?....Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana
Mijiu mizigo sana humu,Kaz yao ni kukodoa mimacho kweny TV bila kupiga kura...Alafu bila aibu ina lalamika eti kwa nn kapewa mkenya...utafkir alipewa zawadi kama pipi..Na wanasahau haya mashindano ni ya East Africa'means yoyote anaweza kushinda kwa wingi wa kura na uwezo pia...Honestly yule bint alikuwa na uwezo mkubwa tuu...Wa dodoma pia ni mkali sana,sema tatiz ni wabongo,hayapigi kura kazi kulalama tuu..Mnalalamika mlipiga kura? Nyie ndo ambao hampigi kura ila mnalalamika maisha magumu