Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Maisha plus mmeonyesha udhaifu kwa mshindi

Swali la kujiuliza, shindano hili lingefanyika Kenya, Je wakenya wangempa ushindi Mtanzania....jibu lake litaonesha kama akina Masoud wamekosea ama lah.
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Maelezo yako hayaendani na kichwa cha habari...Ulitakiwa useme wameonyeshaje udhaifu huo..
 
Swali la kujiuliza, shindano hili lingefanyika Kenya, Je wakenya wangempa ushindi Mtanzania....jibu lake litaonesha kama akina Masoud wamekosea ama lah.
Wanatoa zawadi kwa mshindi bila kujali anatokea wapi
 
Khaaaaah yaaani wabongo, wengine tangu mchakato unaanza walikuwa kimya na hawajafuatilia hata , ila kutangazwa kwa mshindi ndio wameona hilo tu.
 
Jaman tuache izo kwan mkenya sio mtu. Mi naona ni sawa tu kushinda mkenya. Kwan ni mashindano.
 
Watanzania ni mabingwa wa kulalama lakini kupiga kura hamtaki acha mkenya achukue...
 
Huu uzi umenifanya niwajue wanaJF wengi kuwa ni mazuzu...Eti jitu linasema kabisa bila aibu kuwa angepewa ushindi mtanzania mwenzetu..Sasa wats the point ya kuwashirikisha mataifa mengine?...Nyie ndo mkipewa nafasi za uongozi mnajaza ndugu zenu tu nafasi za ajira
 
Sie Wabongo ni wabaguzi sana... kwenye tusker project fame wakenya uwa wanamshangilia kila mshiriki sasa njoo kwa wabongo wanamshangilia mbongo mwenzao
bora ww mkuu umeongea kweli kuna mtu humu ndani anadai eti tpf ilikuwa inapendelea wakenya sidhan kama alikuwa akiangalia kweli au amesimuliwa tu....maana anaongea vitu ambavyo hata havijui
 
Kuna kitu umekikosea toka mwanzo
Unafuatilia comment zangu tuu, soma za wengine utaona wanakutajia aliyetakiwa ashinde.

Pili hata wewe ambaye unaona ana stahili hujasema anastahili kwa lipi.

Tatu, mkiletwa wakenya sio lazima mchukue, na masoud kalazimisha kuwapa, na kamnyima mbongo mwenzie. Na kwa hilo niko radhi nibishane hata na mshindi mwenyewe mkiniletea na nasisitiza wabongo hatupendani.
Hongereni lakini
haya ww mwenye uzalendo basi anzisha shindano lako halafu ushirikishe mataifa mbalimbali, kisha uwaambie kabisa kigezo cha ushindi ni lazima uwe mbongo.
halafu hapo utakuwa umependana na watz wenzako. lakini maisha plus 2016 mshindi ni olive kutoka Kenya......period
 
Kwa kuwa ni mashindano lazima Mshindi apatikane,Lakini malalamiko huwa hayakosekani.Tukiangalia kwa mshindi wa Pili ALOYCE SAMBUTA alionesha talent(hata washiriki walimpigia kura ya RAIS bora wa Kijiji).Kwa kuwa Tanzania hatunaga utamaduni wa kupiga kura(hata chaguzi viongozi hatushiriki) tukubali kupoteza.Vijana wamejitahidi kuishi vizuri pale kijijini (East Africa ..itajengwa na naniii vijana.....penda sana haka kabwagizo chini ya Jean Karekezi)
 
Naomba kujuzwa huyo mdada alieshinda ni Nani?je ni olive?kama ndie anastahili kabisa tena kabisa tuache porojo za kuleta upendeleo...hivi kwa nini tuishi kiujanjaujanja tu hata kama hatustahili?pia nakubaliana na wanaosema alex alistahili kushinda ila je mlimpigia kura?mara ngapi?wakati wewe unampigia ufikirii kuna wengine pia walikua wanampigia huyo mshindi?
Ni Olive
 
Mshindi wa maisha plus ni mdada kutoka Kenya.

Jamani naombeni kujua wanatumiaga vigezo gan kumpata mshindi maana naonaga wanakaaga porini tu mimi.

KWELI MAISHA HAYANA FOMULA MKENYA KAONDOKA NA M 30
Asew yulw aloyce from dodoma alikuwa anastahili kabisa kuibuka mshindi sasa sijui ndo gender balance au dhana potofu ya kuwa wataonekana wanaupendeleo
Ndio nini tena hii?
 
Wabongo kazi yetu ni kulalamika tu lakini je mlimpigia kura mana hapo ni wazi kura hazikutosha sana sana mlipigia kura waliotoka kwenye mikoa yenu
 
Wabonago tumezoea KUBEBEA, NA KULALAMIKA kwa style hii hata maendeleo ni vigumu kupata, Jiulize ulipiga KURA, Kingine mbona Idrisa alivyokuja na milioni 500 wasouth hawakulalamika pesa zinaondoka pale kwenda nchi nyengine???? achene ubinafsi, pamoja na hayo juzi tulipata tetemeko rais wao ametupa kamsaada ha ha hah a hah wacha na sie turudishe shukrani kwao, Hongera Masaoud kwa ubunifu haki imetendeka.
 
Wakuu mi nauliza hivi! Ili kuingia maisha plus yafaa upitie wapi na vigezo gani?
Ili nianze maandalizi mapema
 
Wabongo ndio hatuna maana sasa wamempaje mkenya na wangempa mbongo hata angesukuma gurudum la maendeleo kwa kulipa kodi na kusiadia taifa!!
Na usawa wa magufuli huu wangekuwa wamefanya la maana
Kwa kauli hizi bado mtazidi kulalamika wazungu wanawabagu?....
 
Mnalalamika mlipiga kura? Nyie ndo ambao hampigi kura ila mnalalamika maisha magumu
Mijiu mizigo sana humu,Kaz yao ni kukodoa mimacho kweny TV bila kupiga kura...Alafu bila aibu ina lalamika eti kwa nn kapewa mkenya...utafkir alipewa zawadi kama pipi..Na wanasahau haya mashindano ni ya East Africa'means yoyote anaweza kushinda kwa wingi wa kura na uwezo pia...Honestly yule bint alikuwa na uwezo mkubwa tuu...Wa dodoma pia ni mkali sana,sema tatiz ni wabongo,hayapigi kura kazi kulalama tuu..
 
Back
Top Bottom