Maisha sio magumu tumechezewa akili tu

Maisha sio magumu tumechezewa akili tu

Kuna kabila naskia bado linaishi porini hapa tz ..ebu kajaribu kuishi nao alaf ulete mrejes
*Huko Wana winda bila kibaeli

*Wana talii bila pesa/kulipia

*hawajui kuhusu Kodi za aridhi,pango,mazao,Wala jengo,

*Hawana hospital Ila Wake zao hujifungua watoto wenye afya

*wakiumwa Wanajitibu na hupona kwa mitishamba

huwezi kujiuliza jinsi gani inavutia na kushangaza?
 
Tengeneza maji yako,tengeneza umeme wako,hospitali yako na shule yako
1)utafungwa kwa kuihujumu mamraka ya maji tz
2)utafunfugwa kwa kuwa hujumu tanesco
3)utafungwa kwa kuamini ushirikina
4)uta fungwa kwa kuenda kinyume na mitaala ya elimu ya inchi
 
Kichwa cha uzi na maelezo haviendani

Ulichoandika ni nonsense na hakina uhalisia na dunia ya sasa.
Dunia Ni Ileile na hiyo Sasa niwewe

kumbuka dunia inaweza kuishi bila wewe Ila wewe hauwezi kuishi bila

dunia kwahiyo jaribu kunisoma kwa hakiri za kuzaliwa sio za kukalilishwa/darasanišŸ™šŸ™
 
Habari za jioni wakubwa zangu?

Mimi nimiongoni mwa watu wanao amini kwamba dunia haikutokea yenyewe" Nina kataa.

.Isipo kuwa Nina amini Kuna Kiumbe/viumbe/mungu/miungu wenye hakili kuliko sisi walio iumba dunia yetu nzuli

Kwani ingetosha dunia kutokea ikiwa na jua tu lakini kwanini ikatokea na mwezi na faida za mwezi Zina onekana?

Ingetosha dunia kutokea/kuonekana au kuwa na umbo la pembe nne lakini kwanini mvilingo nafaida zake Zina onekana?

Inge tosha dunia kuwa na vumbi tu lakini kwanini majani,maji,mvua,kiangazi,masika,vuri,mito,maziwa na bahari na faida zake Zina onekana???

Nilazima Kuna mjenzi mkuu mjenzi mwenye hakili,mjenzi mbunifu,mjenzi mwenye busara aliye yafanya yote hayo. Haiingii hakilini kwamba yalitokea yenyewe

Hivyo Maswali hayo na mengine yanayo fanana na hayo majibu yake yana niambia
yupo mwenye dunia yake aliye iumba dunia yetu tunayo iishi/mungu

huyu ndiye mmiliki wavitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana tukiwemo sisi wenyewe Wana wa adamu

hivyo Basi dunia niyetu sote tumepewa na muumbaji wa vyote

ndugu zangu maisha sio magumu isipokuwa Kuna watu wachache wanao yafanya maisha yetu kuwa magumu

na wamejipanga miaka na miaka kuhakikisha dunia haiji kulipinga hilo na naomba uelewe kwamba

Visu,mapanga,mabomu,risasi,kamikaze drones, mpaka nucrea weapons,jera,police stations,

Hivi vyote nikuku tishia wewe uogope na kuitii mifumo yao inayo kukandamiza wewe Kama vile

Nilazima ukubali kununua alidhi uliyo pewa bule na muumba wako

kwa kipande Cha karatasi/pesa kilicho letwa na kuku baliwa na wao wachache Hawa

Nilazima ukubali kununua maji uliyo pewa na mungu wako bule kwa kipande Cha kalatasi/pesa kilicho tengenezwa na wao

Usisahau kina tengenezwa na wao zingatia hili kipande hicho Cha karatasi/pesa. kina tengenezwa na wao

Hivyo Wana machines za kuki tengeneza kitu ambacho wewe unakitafuta kwa njia yoyoye

Njia yoyote nipamoja na kuiba,kutapeli,kudhulumu,kuuwa kukaba,kusaliti n.k

hivyo wao wata tengeneza hizo karatasi kwa wingi na kuzitumia kidogo kidogo kutu tumikisha na kununua alidhi yote ya dunia

Wakati huo wewe ambaye hutengenezi hizo karatasi/pesa uta hangaika miaka mingi

kuzipata karatasi hizo kutokea kwao hao wanao zitengeneza kwa ajili ya kununulia alidhi kwa ajiri ya kilimo,ujenzi,mifugo,nk

nahapo ndipo chanzo Cha umasikini na utarijiri kilipo anzia hapo hapo ndipo chanzo Cha watu kulala nje kilipo anzia

na ndio chanzo Cha humans classification zilipo anzia unakuta Kuna matajiri,masikini,omba omba,mafukara,makapuku,mpaka kajamba Nani ndipo walipo zaliwa

Tulipaswa kuishi popote bila passports

Tulipaswa kutembelea popote bila passports

Tulipaswa kulima popote bila kununua

Tulipaswa kujenga popote bila kunua Wala kulipia

Tulipaswa kufuga samaki kuku ng'ombe"mbuzi bila kulipishwa

Lakini Hawa watu tayali karatasi zao/pesa zao zimekublika na sisi wenyewe

Wametuwekea police na mahakama na jera zao kusudi tukizikataa karatasi zao watukamate watuhukumu Kisha watufunge

Wametuwekea Sheria zao zinazo watetea wenye uafadhari au walioko karibu na watengeza karatasi/pesa zinazo tawala ulimwengu

lakini Zina tukanda miza sisi tunao zitafuta Kila siku kwa namna yoyote na katika namna yoyote hiyohiyo wame tuwekea sheria za kuhakikisha namna yoyote hiyo haifanyi kazi

Na iwapo uta lazimisha kuzitumia hiyo namna yoyote Basi jiandae kuitwa majina yafwatayo..

Malaya,kibaka,mwizi,jambazi,muasi na hatimaye gaidi

majina yote hayo utaitwa baada tu ya kuanza kuitambua haki yako uliyo pewa bule na muumba wako

Labda niseme kwamba

maisha Ni rahisi bila pesa Wala serikali

maisha niragisi bila technology Wala elimu

Maisha Ni rahisi tukiishi kiasiri

Fikilia tu kwa mfano..

mto unatoa maji bule mtu mmoja mwenye pesa zake anakuja anatega water pump na pipes tu

Kisha ana unganisha maji toka mtoni /chanzo Cha maji mpaka dsm mjini kwa kutumia umeme wa 50tsh kwa lita

Cha ajabu anamlipisha mtumiaji wa maji hayo 500 kwa lita moja kitu ambacho mungu amekitoa bule

Hivyo maisha sio magumu Isipo kuwa mifumo Inafanya maisha kuwa magumu
Mkuu uko sawa lakini si sawa
Mfano hiyo pampu ya kusukuma maji ni ubunifu wa mtu haikushushwa ujue,
Uendeshaji wake ni gharama kwa hiyo kuchangia ni muhimu mkuu
 
Mkuu uko sawa lakini si sawa
Mfano hiyo pampu ya kusukuma maji ni ubunifu wa mtu haikushushwa ujue,
Uendeshaji wake ni gharama kwa hiyo kuchangia ni muhimu mkuu
Mtoa mada anamaanisha mfano sisi watu wa DSM wote Milioni 6.5 kilasiku tukisikia kiu tupige mguu mpaka mto RUVU tunywe maji na kuoga then tunarudi DSM.
 
Umaskini ni wakutengenezwa , watu wanatumia trillion of money kuchochea vita huku kuna watu wana njaa .

Sheria za dunia ili umaskini uendelee kuna sheria ya aliye nacho aongezewe .
 
Umaskini ni wakutengenezwa , watu wanatumia trillion of money kuchochea vita huku kuna watu wana njaa .

Sheria za dunia ili umaskini uendelee kuna sheria ya aliye nacho aongezewe .

Ukisoma uchumi hauna uhalisia , mambo kama riba ni njia kandamizi za kitapeli kupitia mabank.
 
Hakuna cha bure duniani. Hata porini kwenye vya bure kwamba maji utayakuta mtoni ila gharama yake ni kupigana na mamba.

Unapozaliwa na kuikuta jamii yako ipo kuna nyumba za kuishi, hukimbizani na fisi wako huko porini, kuna hospitali na mashule havijaja tu, kuna watu wamefanya kazi kubwa vikawepo hapo huwezi pewa tu bure. Wewe umeleta nini?
 
Back
Top Bottom