Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Mtoa mada anamaanisha kugombana na Simba na machui hili kumpata Swala kwake ndio masiaha rahisi, yaani aamke asubui akawainde swala porini huku na yeye akiwindwa na chatu na Simba ndio urahisi wa maisha.Hakuna cha bure duniani. Hata porini kwenye vya bure kwamba maji utayakuta mtoni ila gharama yake ni kupigana na mamba.
Unapozaliwa na kuikuta jamii yako ipo kuna nyumba za kuishi, hukimbizani na fisi wako huko porini, kuna hospitali na mashule havijaja tu, kuna watu wamefanya kazi kubwa vikawepo hapo huwezi pewa tu bure. Wewe umeleta nini?