Mtoa mada anamaanisha kugombana na Simba na machui hili kumpata Swala kwake ndio masiaha rahisi, yaani aamke asubui akawainde swala porini huku na yeye akiwindwa na chatu na Simba ndio urahisi wa maisha.Hakuna cha bure duniani. Hata porini kwenye vya bure kwamba maji utayakuta mtoni ila gharama yake ni kupigana na mamba.
Unapozaliwa na kuikuta jamii yako ipo kuna nyumba za kuishi, hukimbizani na fisi wako huko porini, kuna hospitali na mashule havijaja tu, kuna watu wamefanya kazi kubwa vikawepo hapo huwezi pewa tu bure. Wewe umeleta nini?
KabisaUwezo wake wa kifikiri una matatizo kihasi
Halafu unakuta mtu anasema eti pesa ni za shetani, ni uwezo mdogo wa kufikiriUwezo wake wa kifikiri una matatizo kihasi
HahahaMtoa mada anamaanisha kugombana na Simba na machui hili kumpata Swala kwake ndio masiaha rahisi, yaani aamke asubui akawainde swala porini huku na yeye akiwindwa na chatu na Simba ndio urahisi wa maisha.
Hata mzungu msomi na mbumbumbu hajui kuandika na sio kuandika tu Bali hata kutamka kiingereza sanifuInasikitisha, watu wengi wasomi kwa mbumbumbu hawajui kuandika Kiswahili sanifu
Unahitaji hakiri na utulivu kidogo kunielewaMtoa mada anamaanisha kugombana na Simba na machui hili kumpata Swala kwake ndio masiaha rahisi, yaani aamke asubui akawainde swala porini huku na yeye akiwindwa na chatu na Simba ndio urahisi wa maisha.
Halafu unakuta mtu anasema eti pesa ni za shetani, ni uwezo mdogo wa kufikir
Think twice.can I say think more than have they told youNonsense
Naona nimeikosea r af una nyege wewe sjui nikusaidieje😂😂R ilikukosea nini mkuu.
Una maanisha kwamba, hakuna pesa hakuna matatizo 😂😂😂Hakuna pesa ya mungu wala shetani
Pesa inahusiana na viumbe watu
Ila pesa ndio msingi wa matatizo yote unayo yajua
Hayo maji uliyopewa na Muumba mbona hayako kila mahali?Nilazima ukubali kununua maji uliyo pewa na mungu wako bule kwa kipande Cha kalatasi/pesa kilicho tengenezwa na wao
Kitendo cha kuniambia "ludia kusoma" badala ya rudia kusoma tayari umenikimbiza�
Hayo maji uliyopewa na Muumba mbona hayako kila mahali?
Mbona hakuna Mto Mkubwa na visima vya kumwaga maji Jijini Dar?
Sasa mtu akiyayoa Pwani huko Ruvu akuletee wewe na Mkeo mmelala hapo Manzese upewe bure?
Sizungumzii kuhusu bule na zungu mzia kuhusu ki hasi Kama ulivyo andikaUwezo wake wa kifikiri una matatizo kihas
Kitendo cha kuniambia "ludia kusoma" badala ya rudia kusoma tayari umenikimbiza�
Hayo maji uliyopewa na Muumba mbona hayako kila mahali?
Mbona hakuna Mto Mkubwa na visima vya kumwaga maji Jijini Dar?
Sasa mtu akiyayoa Pwani huko Ruvu akuletee wewe na Mkeo mmelala hapo Manzese upewe bure?
Sizungumzii kuhusu bule na zungu mzia kuhusu ki hasi Kama ulivyo andikaUwezo wake wa kifikiri una matatizo kihas
Kutoka kwako mpaka hapo bandari ulitumia usafiri gani na huo usafiri ulipopita ulijenga wewe.Unahitaji hakiri na utulivu kidogo kunielewa
Ninacho kizungumzia hapa nikwamba kwamfano
Unanunua/kuagiza gari Japan kwa 28mil Kisha gari hiyo inafika tz unaenda kuichukua pale bandarini wana kuambia bwana Ina takiwa utoe pesa ya ziada ya kodi 29mil jumla wakati huo huo gari ume inunua kwa 28mil
Sasa nikuulize ndugu yangu wewe unadhani tatizo hapo litakuwa niwewe mnunuzi?wa
uzaji?au serikali yako?
Je! unafikiri/unadhani nisahihi Hari kuwa hivyo?
Na unafikiri chanzo Cha hayo yote nikipi?
Taratibu unaanza kunyongorotoa ujinga ulioandikaSizungumzii kuhusu bule na zungu mzia kuhusu ki hasi Kama ulivyo andika
😂😂Uliskia wapSHow nilisikia yako kubwa mie naogopa
Bahari ilijengwa na Bibi yako?Kutoka kwako mpaka hapo bandari ulitumia usafiri gani na huo usafiri ulipopita ulijenga wewe.
Uwezo wako wa kufikiri ni finyuUwezo wake wa kifikiri una matatizo kihasi
Unaweza ukatingisha usiskie lakini zimo.Taratibu unaanza kunyongorotoa ujinga ulioandika
Namaanisha pesa haipunguzi Ila Ina ongeza matatizoUna maanisha kwamba, hakuna pesa hakuna matatizo 😂😂😂