Maisha sio magumu tumechezewa akili tu

Dunia siyo ya kwetu wote. As a matter of fact, Dunia haina mwenyewe. Ukiangalia na kugundua ukubwa wa solar system, ukubwa wa Galaxy na ukubwa wa Universe nzima inayopanuka per second as I wrote this. Basi utagundua uwezekano wa maisha duniani kwa asilimia 100% unaweza kuwa ni coincidence tu.

Na wachache pekee wanaoelewa uhalisia wakaamua kuchukua hatua. Wengine mtafuata mstari.
 
Inafikirisha sana
Serikali nikikundi Cha watu wachache walio amua kuwa tawala wengine kwa kuwa tumikisha na kunyang'anya sehemu jasho lao kwa kutumia nguvu ya bunduki nawao

kuishi Kama wako peponi kwa jasho la wengine

Na wamekula kiapo kumfanya chochote mtu yeyote atakaye tishia masrahi yao au kumtishia Maisha mmoja wao
 
Wewe unashauri vipi sasa?
 
Wewe unashauri vipi sasa?
Binafsi sijaja kutoa ushauri Ila nime zungumzia kuhusu kile ninacho kiona
Kwamba..

raisi nikama mfugaji

na jeshi nikama mbwa wa raisi

na raia nikama mbuzi,kondoo au ng,'ombe wa mfugaji ambaye ni raisi

Kwahiyo mfugaji huamua leo mbwa ale au asile.

leo Leo nimchinje yupi yupi nimwache yupi

Kwakifupi mifugo huaminishwa na Banda na kulindwa kwa kichungwa lakini mwisho wa siku ni chakula Cha mfugaji

So nazungumzia kuhusu usawa, haki, na Uhuru,
 

Mkuu uko sawa lakini si sawa
Mfano hiyo pampu ya kusukuma maji ni ubunifu wa mtu haikushushwa ujue,
Uendeshaji wake ni gharama kwa hiyo kuchangia ni muhimu mkuu
Hakika kuchangia ni mhimu mkuu

lakini zingatia kuchangia Kama ulivyo sema ni tofauti na kutozwa

Kuchangia hakuna kiwango/lazima

lakini kutozwa Kuna kiwango na nilazima
 
Hebu fikilia umenunua ng'ombe wako umemfuga akakua lakini

kumuuza mpaka upate kibari kwa mtendaji au afisa kilimo
 
Mtoa mada anamaanisha kugombana na Simba na machui hili kumpata Swala kwake ndio masiaha rahisi, yaani aamke asubui akawainde swala porini huku na yeye akiwindwa na chatu na Simba ndio urahisi wa maisha.
Na kwa hakiri zako unaamini unaishi Maisha rahisi saizi kuliko Bibi na Babu zako

Hebu angalia late yako ya kuishi Sasa ni miaka mingapi Kisha linganisha na zamani waliishi miaka mingapi

Hapo ndipo utagundua kwamba kadri dunia inavyo noga ndivyo Maisha yanavyo kuwa magumu zaidi

na hapo ndipo utagundua kwamba wewe Sasa hivi nikama kuku wa kisasa kwani hauwezi kuishi bila umeme/SIMU

Tumeleweshwa na technology tume wekwa kwenye cages na zime pigwa kufuri Sasa subili ulevi uishe tuone tuta tokaje hapa tulipo
 
Mkuu ilibidi serikali iwe inatupa wananchi pesa sio..?
 
Mtoa mada anamaanisha mfano sisi watu wa DSM wote Milioni 6.5 kilasiku tukisikia kiu tupige mguu mpaka mto RUVU tunywe maji na kuoga then tunarudi DSM.
Unaonekana una penda Sana comedy sio?

Mimi nazungumzia kwamba hatupaswi kuutumia ujuzi,uwezo,vipaji,na malaka zetu kuwatesa wengine kwa vitu ambavyo hatukuviumba sisi sjui utakiwa umeniekewa?
 
Na kwa hakiri zako unaamini unaishi Maisha rahisi saizi kuliko Bibi na Babu zako
Babu zako walikwambia waliishi maisha rahisi
Hebu angalia late yako ya kuishi Sasa ni miaka mingapi Kisha linganisha na zamani waliishi miaka mingapi
Hoja yako maisha rahisi au rate ya kuishi, mbona uelewi hata hoja yako, anyway rate ya kuishi inahusiana vipi na urahisi wa maisha.
Hapo ndipo utagundua kwamba kadri dunia inavyo noga ndivyo Maisha yanavyo kuwa magumu zaidi

na hapo ndipo utagundua kwamba wewe Sasa hivi nikama kuku wa kisasa kwani hauwezi kuishi bila umeme/SIMU
Kutokishi bila umeme inahusiana vipi na suala la urahisi wabmaisha, anyway kuishi na koroboi ndio urahisi wa maisha kwako.
Tumeleweshwa na technology tume wekwa kwenye cages na zime pigwa kufuri Sasa subili ulevi uishe tuone tuta tokaje hapa tulipo
Umeandika nini.

Unaandika hisia hisia tu, husiamami na hoja wala kujua hoja yako.
 
*Hivi Kati ya mtu anaye ishi mjini na yule anaye ishi kijijini kwa hakiri zako unadhani yupi anaishi Manisha rahisi?

*kwahiyo Kwa hakiri yako kuubwa iliyo tukuka una Amini mda wakuishi kwa mda mlefu au kufa mapema hau husiani na Hari ya maisha na mazingira unayo ishi?

* Mh eti una andika nini"?

so Unawezaje kujibu/to comment maandiko ambayo hujui ninini?

Wakati mwingine kukaa kimya ni busara then sorry Kama ntakuwa nimekujibu vibaya lakini
 
πŸ‘πŸ‘
πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…