Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Mkuu huyo mwanamke anaonekana amebeba ufunguo wa mafanikio yako embu jaribu kumbadilisha na umfanye awe mkeo kbsa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mapenzi Tu hata kwenye magari kuna pisi hiyo kila nikiibeba lazima gari lizingue either pancha au shock up kuzingua ni vituko tupoMkuu hata Mimi nishawahi kuwa kwenye situation kama hii ya kwako, nyota na mikosi vipo Sana Kwenye mapenzi.
Kuna mwanamke ukilala naye kupata hata Mia mbovu Ni ngumu Sana & vice versa is also true.
Hii kitu sio kweli. Unajidanganya au umedanganywa. But It's human nature to justify your weaknesses
Ni illusion tu inakutokea na unaiamini sababu uko emotionally weak.
A man controls his fate, huwezi nambia eti malaya mmoja ndo kashikilia mafanikio yako.
Amka acha kuwa zwazwa
A boy makes excuse for his weakness
Acha utoto mkuu as a man you have to control your emotions and make decisions usikubali kuendeshwa na mwanamke ambaye unajua fika ni mcharuko be a man and not a little boy
Salute Wakuu 👊Hizi ni imani tu. Mtu ambaye hana misimamo na hana muongozo mzuri ni lazima atakuwa na viimani vya kidwanzi ambavyo anatumia kujiongoza na kujenga hoja.