Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Acha uongo.
Mimi naishi mitaa ya wazungu hapa Cape Town, sijawahi kusikia tukio lolote la uhalifu. Usalama ni 200%.
View attachment 2989625
Mzee achaga ushamba huko south nimefanya biashara kwa zaidi ya 15 years hiyo nchi siyo salama, kama waliweza kumuua lucky dube na aka ambao nina uhakika wamekuzidi kila kitu sembuse wewe? southafrica kila siku ya mungu zaidi ya magari 60 yanaibiwa
Na kila mwaka zaidi ya mauaji 70,000 sasa hiyo mi nchi ya kuishi kweli na familia yako?
MImi familia yangu itakuja kutembea na kuondoka ila siyo sehemu ya kuishi
 

Attachments

  • Screenshot_20240515-095327_Chrome.jpg
    308.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240515-095036_Chrome.jpg
    123.6 KB · Views: 7
No go zone South Africa documentary


View: https://www.youtube.com/watch?v=SA3ytkfCztM&pp=ygUXbm8gZ28gem9uZSBzb3V0aCBhZnJpY2E%3D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…