Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
Ndugu Naomba nije pm kama hutojali
 
Pia wazawa awapendi Kazi zaidi ya pombe na ngono na hivi havipatikani bure.
South african hawana tofauti na black american wote Wana characters moja.
Hii kitu Huwa sielewi
Na wengine wanasema watanzania wavivu!
Au mtu ni mvivu akiwa kwao,akitokea anapiga kazi?

Ila mi Kwa ninaowafahamu wanapiga kazi!
 
Kule ni kama vile Dar kuna masaki, Mwananyamala, Sinza etc. - Johanesburg Hillbrow mfano ni kama Mwananyamala (roba za mbao n.k) Sandton ni kama Masaki- full kamera na doria za Police- ukionekana unatembea kwa miguu tu Police lazima wakusimamishe wajue unaenda wapi na ni nani wewe! Na barabara za kuingia sehemu za wanaokaa matajiri kuna road block zinazohamishika kila dakika. Ukifikia Mashenzini kweli utaiona Sauz ni ya kikatili na Umalaya kama vile Wageni (wakongoman na Wanaijeria wanaoishi Kinondoni na Mwananyamala) daima watasema Dar apafai!
Kumbee🤔🤔
Asante
 
Yani kwa Kiswahili ni sawa umesema Dar es salaam na Manzese tofauti yake!

Unasahau Dar es salaam sio Mtaa, sio eneo...

Hii inaonyesha wengi wenu humu hampajui Dzonga!
Story za kuhadithiwa mnazileta hapa.
Kwakweli 🤣
 
Mtu akija Dar na akafikia Kinondoni anaweza kujiaminisha kwamba Wacongo ni wengi Kinondoni kuliko Watanzania ndicho unachojaribu kuwaaminisha watu hapa.

Nikikuuliza umewahi kufika Soweto jibu utasema hapana, Sasa kwa taarifa yako Soweto ni kubwa kuliko Dar na ndio makazi ya wazawa.

Kirefu cha Soweto ni South and west township, ni kubwa mno.

Hakuna mzulu original wa kukaa Hillbrow alipe apartment bei kubwa wakati wanaweza kuishi kwenye nyumba yake location na akitaka kuja down town Metro train za umeme zipo.

Hata Tanzania hakuna Watanzania wa kawaida wanaishi kwenye maghorofa ya town, huko wamejaa wahindi na wazawa wachache wenye Moshe za kueleweka.

Ingekuwa ni kweli Johannesburg wageni ni wengi kushinda wenyeji basi ile oparesheni dundula wageni wangekaza wapambane na wenyeji na wasingekubali kuuwawa.

Hata Dar kuna watu habari za panya road wanazisoma tu kwenye vyombo vya habari tu hawajui lolote, watu wapo Samaki Samaki SAA hizi wanakula shangwe au wavuvi huyo panya road anatoka wapi?
Hahaaaa
Nakusoma
Maana wanatutisha jmn🤝
 
Matola, Hillbrow Kuna mchezo mchafu unaochezwa hasa na Zimbabweans wa kuteka nyumba na kuishi bure bure.... ndiyo maana ukipita hapo Sasa hivi maghorofa mengi yametelekezwa. Mengi hayana umeme n.k.

Wamiliki wamesha give-up. Operation Dudula imeshindwa kufanya kazi sababu kubwa Wasouth wamegawanyika. Malema anaichukua hii opportunity to gain political popularity.... nothing else.

City center ya Jozi Ina megeni mingi kuliko wazawa... ukiniuliza data sina. Kwa report tu iliyofanyika siku Moja waligundua wageni wanaopita Beitbridge kwa siku ni mia mbili lakini sitini wanarudi. 140 hubaki ndani ya South Afrika.

Nikirudi kwenye mada... Uhalifu wa SA unasababishwa na wageni kwa asilimia nyingi nyingi saana.
Aiseer
Ndo maana Ile ajali ya moto ya juzi kati hapa ,nilishangaa eti Yale magorofa yalitelekezwa wanaishi humo ni wageni na wazawa wasio na makazi maalumu🤔

Mmh
 
Nafikilia kuanzisha Uzi hapa kuzungumzia nguvu ya hizi numbers kwenye Maisha ya kila siku ya SA, Mitaani na Gerezani...!

26 ni Gang crew, kama ilivyo 27 na 28, hizo numbers zina nguvu sana Gerezani, Maisha yako yatakua ya dhiki kubwa kama ukienda Jela hafu ukawa sio member wa hizo numbers, japo huku Mtaani number zinageuka na kuwa na Majina ya Crew, miongoni mwa kundi Hatari na kubwa hapa Cape town, ni Americano, Mongolos, Yankees, School Boy etc.

Hawa wanauana dairy kwa kutafuta himaya ya kuuza Madawa, Wanaiba, wanakaba mtaani na kila aina ya Ufedhuri, Mf. Ndani ya Americano kuna 26, 27 na 28 wanapambana na Mongolos yenye 26, 27 na 28 pia, ila wakienda Jela, hakuna Americano, hakuna Mongolos wala majina mengine, ila wanaishi pamoja kwa numbers zao!
Japo kwenye Jela moja kubwa inaitwa Possmall, kuna mtu hatari sana, anamiliki Number 28 anaitwa John Mongol, ambaye ndo mwanzirishi wa kundi la Mongolos ambalo linasebenza Mtaani, huyu Mtu ni mtu ambaye sio mtu mzuri hata ukimtizama.

Wana salamu zao za ishara, means mtaani mtu akikusalimia unajua huyu ni 26, 27 au 28, wanaenda mbali wana Lugha yao wanaelewana wenyewe, inaitwa Sabela, hakuna mtu anaelewa hiyo Lugha zaidi yao wenyewe.

Member wa kundi lolote hajakukaba au kukuibia mpaka ajitamburishe kuwa yeye anamiliki number ipi, atapiga mguu chini, salamu ikiambatana na Kujitamburisha kwake kwako na Lugha yao ya Sabela, kama wewe unamiliki namba pia means utajibu na yeye atajua huyu ni mwenzagu, kama katika kusalimiana anatambua wewe ni mkubwa kuliko wewe, atapiga Saluti, otherwise, utaenda kuhadithia Nyumbani.
(Wako vyeo vyao ambavyo wanajichora kama Tatoo)

26- Ni Watu watafutaji pesa, Brothermen wanapenda kupendeza na wanajua kutafuta pesa.

27. Ni Wauaji straight, akipewa Amri akuue, harudi nyuma, mpaka akuue, na ni mbaya kama amri ikitoka Jela, coz asipokuua atauwawa yeye, na yeye hawezi kukubari kufa kwa ajiri yako. Kuua kunampa Cheo zaidi kwenye Crew aliyopo.

28. Wanajihusisha na Mapenzi hata ya jinsia Moja, lakini pia anaweza kuua....

Hawa ndo wanaifanya SA iwe na Ushenzi tunaousikia, Hawa wanauza Madawa straigjt kwa watu wao, lipo kundi moja lipo Cape town, town kabisa, linaitwa UnderWorld Cape gang, hili kundi lina Connection mpaka na makundi Makubwa ya kuuza Unga toka Latin America, linaingiza madawa Cape town tokea Brazil....!

Sawa Wabongo wanauza madawa, na Wanigeria pia, ila Wabongo wengi na Wanigeria wengi ni kama Machinga wa madawa mbele ya hawa Raia wa Kirangirangi.

Wageni wanaofanya kazi halali ni wengi kuliko wanaofanya Mazabe.
Makubwa
Kumbe Bado sijaona na kusikia 🤔🙌🙌
 
Nakubaliana na ww, wahuni wengi wilaya ya temeke wamekimbilia south. ..ninao wajua ni zaidi ya kumi.
Mbagala ndio usiseme wanaanza na kazi ya bodaboda then wanauza pikipiki za maboss na kukimbilia south.
Wakifika huko wanapokelewa na wahuni wenzao walioko huko muda mrefu
Aiseee🤔
Hao unawajua
Tena eneo Moja,na kwingine je?
Now I understand
 
Uhalifu unakomeshwa kwa kutumia bunduki, ni kuwasaka wakuu wa magenge ya uhalifu na kuwatupa tu baharini. Jinsi ya kuwapata viongozi wao ni kuwasaka wahalifu na kuwapa mateso wanataja baada ya kutaja wanapigwa risasi kisha wanafatwa wengine hivyo hivyo ndani ya miezi 3 wote wameisha ndicho walivyofanya Rwanda.
Huwezi mpeleka mwizi jela utegemee abadilike jela zenyewe ni kama paradise halafu abadilike. Mwizi ni shetani na shetani asikii neno ila bunduki. Wezi wote mtaani wanajulikana na police. Waganga wote uwajua wachawi wote mtaani.
Wnatakiwa wapate rais km the late Magu....
 
Back
Top Bottom