Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Ninakubaliana sana na haya maoni. Usienda South Africa kama huna msingi.

South Africa ni inchi ya upper-middle class and above, chini ya hapo utateseka sana.

South Africa na Bongo ndo nchi mbili ninazozipenda sana huku Africa, mimi kama Mkenya.

Kama tu Bongo, South africa with money is the best country. Lakini ina advantage fulani tu zaidi ya Bongo.
Infrastructure imeendelea sana na kuna miji poa sana kule mfano Constantia kule Cape Town, Franschhoek, Stellenbosch, strand, Somerset West , Knysna, George n.k lakini ndio huishi kule unahitaji sio chini ya $2500 a month. Chini ya hapo utakumbwa na crime pale iko juu sana ikicheki statistics.

Tukitoka jimpo la Western Cape tuje Gauteng, miji inayopendeza sana ni Midrand kule Waterfall, Steyn City, Blair Atholl , Copperleaf, Serengeti Estate.
Hii ni miji mpya mpya kwa sababu the trend is to live in gated communities saa hii lakini hapo awali miji kama Sandton, Rivers estate, Bryanston ilipendeka sana.
Ndio huishi katika hiyo miji nimetaja u need at least $4000.


Kuna sehemu zingine tu kama Pretoria East , Summerstrand, Durban North zenye kupendeza.

Ila I would not advice anyone aende South Africa unless ni middle class kuendelea.
South africa is one of the most value-for -money countries in the world kama pesa si shida. Luxury is very cheap kule compared to the rest of the world.

Iko na ecosystems mbali mbali kama tu Tanzania.
Ila ina challenges mingi sana pia.
In a province like Kwazulu Natal , 60% of women aged 18-48 yrs are HIV positive. 60% wana UKIMWI! 60%! Na hizi ni taakwimu rasmi.
However even if u test at home ,itaonyesha negative kwa sababu wanatumia ARVs so ukimwi ni undetectable unless u go to a lab like Lancet.
The national average ni about 20% almost double ya Tanzania.

U need to be very careful manake wanawake wa kule wanapendeza sana hata zaidi kushinda hawa wa Bongo.
Wanamaumbilie ya kushawishi sana mwanzo kama Kule Port Elizabeth kila mwanamke ni round ana tako balaa. Sehemu zingine ni kama kule Pretoria na Braamfontein yaani kile mwanamke ni mrembo kule.

Wanapenda soft life sana wanawake wa kule.

Alafu pia crime inatakiwa huishi kwa miji hiyo ambayo nimeitaja kwa sababu crime iko juu sana.

Hata ukiisha mbali na watu kwa shamba Lako bado kuna farm murders nyingi sana kama zile sehemu za Drakensberg.

For u to protect yourself kule kama una mansion yako, private companies charge $1000 for one soldier.

Kwa hivyo bila pesa baki tu Bongo kuna fursa za kuanzia mingi sana, nyinyi si mabepari u have not exploited everything.
umedadavua vizuri, so kwa matembezi ya kawaida inapaswa kuwa na $ ngapi?
 
Jamani wiki ijayo inaweza isiwe poa kwetu
Screenshot_20230317_205857.jpg
 
Wanakisia tu inaweza kuwa ni 60%. Japo Waziri wao wa ulinzi ameshasema, tatizo siyo wahamiaji.
Tatizo ni wasouth wenyewe. Katika wahamiaji laki 5 na 44, walio magerezani kwa makosa ya uhalifu, ni 18,000.

Wasouth wako nusu milioni magerezani kwa uhalifu.
Mwezi January na March pekee wanawake 10,000 wamebakwa na wazawa wenyewe siyo wahamiaji.
Namuona late Magufuli in ur head! Keep it up momy!!
 
Matola, Hillbrow Kuna mchezo mchafu unaochezwa hasa na Zimbabweans wa kuteka nyumba na kuishi bure bure.... ndiyo maana ukipita hapo Sasa hivi maghorofa mengi yametelekezwa. Mengi hayana umeme n.k.

Wamiliki wamesha give-up. Operation Dudula imeshindwa kufanya kazi sababu kubwa Wasouth wamegawanyika. Malema anaichukua hii opportunity to gain political popularity.... nothing else.

City center ya Jozi Ina megeni mingi kuliko wazawa... ukiniuliza data sina. Kwa report tu iliyofanyika siku Moja waligundua wageni wanaopita Beitbridge kwa siku ni mia mbili lakini sitini wanarudi. 140 hubaki ndani ya South Afrika.

Nikirudi kwenye mada... Uhalifu wa SA unasababishwa na wageni kwa asilimia nyingi nyingi saana.
Mzee unajua Nakusoma najiuliza kama nilishawahi kukujibu ama vipi, naona yanakutoka tu Mzee!!

Yani yote ulozungumza kuhusu South Africa hakuna la Ukweli hata moja 1, zaidi ya Takwimu za Boda labda na maeneo uloishi hapo Jozi.!

Na hii huwa inasababishwa na hili, umekuja SA ukakaa Joberg Mwezi mmoja,

Ila Una story za kuambiwa kuhusu Joberg.

Una story za kuambiwa kuhusu Gauteng.

Una story za kuambiwa kuhusu Cape town na miji yote, yani umeambiwa story nyiiingi na ulowwakuta, then wewe leo unaelezea as if una hakika 100!

Sehemu ambapo kulitakiwa tu kuwe na maoni yako, wewe unatupa taarifa...!

SA ni zaidi ya unavyoijua.
 
Mzee unajua Nakusoma najiuliza kama nilishawahi kukujibu ama vipi, naona yanakutoka tu Mzee!!

Yani yote ulozungumza kuhusu South Africa hakuna la Ukweli hata moja 1, zaidi ya Takwimu za Boda labda na maeneo uloishi hapo Jozi.!

Na hii huwa inasababishwa na hili, umekuja SA ukakaa Joberg Mwezi mmoja,

Ila Una story za kuambiwa kuhusu Joberg.

Una story za kuambiwa kuhusu Gauteng.

Una story za kuambiwa kuhusu Cape town na miji yote, yani umeambiwa story nyiiingi na ulowwakuta, then wewe leo unaelezea as if una hakika 100!

Sehemu ambapo kulitakiwa tu kuwe na maoni yako, wewe unatupa taarifa...!

SA ni zaidi ya unavyoijua.
Unatakiwa umprove yeye ni mwongo kwa kueleza ukweli na sio maneno matupu
 
Nina rafiki yangu yupo uko mwaka wa 10 sasa hajatoboa,yupo mwingine uzuri mama yake alikuwa kule kitambo ana biashara ya saloon, jamaa alifikia kwa mama ake akawa anamsaidia akapata demu wa kule baahta nzuri dem maisha safi kwao ndo jamaa akatoboa kwa staili iyo ,ila nchi kuuana nje nje mi siiwezi
Miaka 10 mtu unakuwa unatumia akili ya kampuni gani aiseee? Yaani ugenini miaka 10 uwe na life lile lile la last year, aisee huyo mwamba wako anaonekana ni Marioo bila shaka.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nafikilia kuanzisha Uzi hapa kuzungumzia nguvu ya hizi numbers kwenye Maisha ya kila siku ya SA, Mitaani na Gerezani...!

26 ni Gang crew, kama ilivyo 27 na 28, hizo numbers zina nguvu sana Gerezani, Maisha yako yatakua ya dhiki kubwa kama ukienda Jela hafu ukawa sio member wa hizo numbers, japo huku Mtaani number zinageuka na kuwa na Majina ya Crew, miongoni mwa kundi Hatari na kubwa hapa Cape town, ni Americano, Mongolos, Yankees, School Boy etc.

Hawa wanauana dairy kwa kutafuta himaya ya kuuza Madawa, Wanaiba, wanakaba mtaani na kila aina ya Ufedhuri, Mf. Ndani ya Americano kuna 26, 27 na 28 wanapambana na Mongolos yenye 26, 27 na 28 pia, ila wakienda Jela, hakuna Americano, hakuna Mongolos wala majina mengine, ila wanaishi pamoja kwa numbers zao!
Japo kwenye Jela moja kubwa inaitwa Possmall, kuna mtu hatari sana, anamiliki Number 28 anaitwa John Mongol, ambaye ndo mwanzirishi wa kundi la Mongolos ambalo linasebenza Mtaani, huyu Mtu ni mtu ambaye sio mtu mzuri hata ukimtizama.

Wana salamu zao za ishara, means mtaani mtu akikusalimia unajua huyu ni 26, 27 au 28, wanaenda mbali wana Lugha yao wanaelewana wenyewe, inaitwa Sabela, hakuna mtu anaelewa hiyo Lugha zaidi yao wenyewe.

Member wa kundi lolote hajakukaba au kukuibia mpaka ajitamburishe kuwa yeye anamiliki number ipi, atapiga mguu chini, salamu ikiambatana na Kujitamburisha kwake kwako na Lugha yao ya Sabela, kama wewe unamiliki namba pia means utajibu na yeye atajua huyu ni mwenzagu, kama katika kusalimiana anatambua wewe ni mkubwa kuliko wewe, atapiga Saluti, otherwise, utaenda kuhadithia Nyumbani.
(Wako vyeo vyao ambavyo wanajichora kama Tatoo)

26- Ni Watu watafutaji pesa, Brothermen wanapenda kupendeza na wanajua kutafuta pesa.

27. Ni Wauaji straight, akipewa Amri akuue, harudi nyuma, mpaka akuue, na ni mbaya kama amri ikitoka Jela, coz asipokuua atauwawa yeye, na yeye hawezi kukubari kufa kwa ajiri yako. Kuua kunampa Cheo zaidi kwenye Crew aliyopo.

28. Wanajihusisha na Mapenzi hata ya jinsia Moja, lakini pia anaweza kuua....

Hawa ndo wanaifanya SA iwe na Ushenzi tunaousikia, Hawa wanauza Madawa straigjt kwa watu wao, lipo kundi moja lipo Cape town, town kabisa, linaitwa UnderWorld Cape gang, hili kundi lina Connection mpaka na makundi Makubwa ya kuuza Unga toka Latin America, linaingiza madawa Cape town tokea Brazil....!

Sawa Wabongo wanauza madawa, na Wanigeria pia, ila Wabongo wengi na Wanigeria wengi ni kama Machinga wa madawa mbele ya hawa Raia wa Kirangirangi.

Wageni wanaofanya kazi halali ni wengi kuliko wanaofanya Mazabe.
Mmmmmmhmn we bwana unaonekana unaielewa vema sana jamii ya hawa wajukuu wa madiba na unaielewa vema sana Jografia yao.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Dzonga dzulu
Kuna lesson kubwa sana ya maisha pale
Niliishi zaidi ya mwaka nimejifunza mengi

lakini kwa sasa naona pale kuna fursa kubwa sana ya kutoboa
Mwanzo ugeni na kutoelewa lakini nataka niende tena kubadili mentality ya wabongo wengi kwamba ili utoboe lazima uuze unga na skanka
 
Back
Top Bottom