Afande Macha
Member
- Oct 12, 2023
- 69
- 93
Mbona una comment na kujijibu mwenyewe!!Aisee ni kisanga mwanangu yaani kuna maujuzi tuna oewa humu ni balaaa 😂🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una comment na kujijibu mwenyewe!!Aisee ni kisanga mwanangu yaani kuna maujuzi tuna oewa humu ni balaaa 😂🤒
VideographyUnapiga mishe gani kwa wa zungu mkuu
Mzee achaga ushamba huko south nimefanya biashara kwa zaidi ya 15 years hiyo nchi siyo salama, kama waliweza kumuua lucky dube na aka ambao nina uhakika wamekuzidi kila kitu sembuse wewe? southafrica kila siku ya mungu zaidi ya magari 60 yanaibiwaAcha uongo.
Mimi naishi mitaa ya wazungu hapa Cape Town, sijawahi kusikia tukio lolote la uhalifu. Usalama ni 200%.
View attachment 2989625
No go zone South Africa documentaryUsijidanganye kwenda bondeni kutafuta maisha kama huna msingi, wala kibali. Kama unaweza kulipa nyumba Milioni kwa mwezi hapa Tanzania basi unaweza kuishi huko.
Kama unaweza kuishi Masaki na Mbezi beach basi unaweza kuishi huko sababu tabia za huko mazoea ya uswahilini hakuna, ukiweza kuishi South Africa na ndio umeweza kuishi nchi yoyote iliyopo Ulaya na pengine.
South Africa gredi ya uhalifu ni kubwa sana, kesi za kufa watu zipo nyingi kuliko kesi nyengine, ingekuwa tz kila siku kamanda wa polisi anatangaza mwisho hata choka.
Ngono kule ni kitu cha kawaida yani unatongoza mchana usiku unapewa, sio huku kwetu mpaka uchunwe kwanza.
Ukiwa na misosi ya kutosha na nyumba utachagua wanawake mpaka UKIMWI ukufikie, wanathamini kula sana maana maisha magumu kwao. Wezi, wauza madawa, wakwepa kodi na n.k wanaogopa kuweka pesa zao benki sababu benki za huku ni kama TRA kukuchunguza, Rais Ramaphosa ni mfano tosha.
Wizi wa magari ni kama wizi wa simu, gari nyingi zinazoingia hapa kwetu nyingi za wizi zinatoka huko. Vigogo wakubwa na wauza ngada hapa Tz wanaishi huko au kuwa na makazi ni wengi tu.
Msidanganye na wasanii wanasema wamenunua nyumba bali kule nyumba unaweza kununu tena nzuri ila ni kama umekodi, tofauti ya tanzania ardhi ina bei utadhani unanunua madini.
Kuvamiwa ni jambo la kawaida, wezi wakule usumbufu hawataki unaenda kwa order ukileta ubishi ni kugusa kaburini.
Huwezi kuchezea simu ovyo maana mitaa yote kuna wahalifu usipo kuwa makini unaweza kuona benzi kali inapita kumbe wapo wezi, ukifika nyumbani kama kuna geti lazima uchunguze mbele na nyuma nani anakufata ijalishi gari au mtembea miguu na hatua kidogo kabla ujafika getini, unaingia nao.
Vijana wetu waliozamia ukiona kaenda karudi katoboa maisha, mawili ni mchomoko au madawa.
Mchomoko ni kuvizia nyumba wenyewe hawapo tena nyumba hizi kama nilivosema wanaoweka pesa za kutakatisha.
South sio poa.
BangeMbona una comment na kujijibu mwenyewe!!