Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati nnaishi Sauz! Ata Police walio Off wanatembea wawiliwawili- Kuna siku tulimwalika mmoja kwenye part akaja na mwenzake ambae nae yupo off! Nilipokuwa naongea nao waliniambia kuwa wahalifu wanaowakamata mara nyingi ata kama bado awajafungwa kesi zao zinaendelea mahakamani huwavizia na kuwaua. Pale kila mmoja wao alikuwa na Bastola full loaded . Hospital za South zina askari geting pamoja na Detekta za silaha, Wakikukosa kukuhuwa Kitaa, wanakuja hospital kukumaliza😭. Kuna mitaa kutolewa Bunduki ni kawaida, Malaya kukuuza kwa Majita kama umejionyesha wewe unazo ni kitu cha kawaida.Siku moja Dogo alikuwa anatoka Super market ambayo ni kama Nusu KM. Mpaka anafika tunapokaa amekabwa mara sita na makundi tofauti tofauti ya vibaka🤣 Kundi la sita walimkuta amebakiwa na pipi kifua tu.Police wa sauzi wanawachekea wahalifu. Kwani bunduki Kazi yake nini.
Wakati wa ubaguzi polisi walitesa sana weusi. Weusi waliposhika madaraka waliona wawapunguzie nguvu na kuwadhibiti polisi, kumbe wanajichimbia kaburi. Kubana polisi huwa kuna madhara makubwa kuliko faida.Police wa sauzi wanawachekea wahalifu. Kwani bunduki Kazi yake nini.
Kule ni kama vile Dar kuna masaki, Mwananyamala, Sinza etc. - Johanesburg Hillbrow mfano ni kama Mwananyamala (roba za mbao n.k) Sandton ni kama Masaki- full kamera na doria za Police- ukionekana unatembea kwa miguu tu Police lazima wakusimamishe wajue unaenda wapi na ni nani wewe! Na barabara za kuingia sehemu za wanaokaa matajiri kuna road block zinazohamishika kila dakika. Ukifikia Mashenzini kweli utaiona Sauz ni ya kikatili na Umalaya kama vile Wageni (wakongoman na Wanaijeria wanaoishi Kinondoni na Mwananyamala) daima watasema Dar apafai!For ur information. Hakuna nchi nzuri kuishi kama Dizonga
Huo uhalifu unao uzungumzia ni baadhi ya sehemu za Johane
Hao ndio walikuwa wakililia uhuru, eti "Freedom is coming tomorrow...!"Sababu ya crime kuwa juu, South Africa. Wanasema baadhi tu ni Unemployment, Ufisadi mkubwa wa Serikali, hawajali tabaka la chini na Alcohol.
Sure angesema miji gan inauhalifu..Ni sawa na mtu Tanzania akwambie ogopa panya road, wakati panya road wana maeneo yao.
Jiulize kwa nini wazungu wapo Salama South Africa?
Johanesburg and Sandton Tufauti yakeFor ur information. Hakuna nchi nzuri kuishi kama Dizonga
Huo uhalifu unao uzungumzia ni baadhi ya sehemu za Johane
South ni moja ya nchi duniani zenye uhalifu na mauaji kwa kiwango cha juu sana. Level za Brazil na USA. Siyo salama kabisa hiyo nchi.For ur information. Hakuna nchi nzuri kuishi kama Dizonga
Huo uhalifu unao uzungumzia ni baadhi ya sehemu za Johane
Hata wahalifu wana bunduki piaPolice wa sauzi wanawachekea wahalifu. Kwani bunduki Kazi yake nini.
Ipo juu Sana, nadhani hata kidunia ipo kwenye rank zenye uhalifu mkubwa.Crime rate hapo SA sio poa
Hata simba na ukali wake anawindwaHata wahalifu wana bunduki pia
Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...Umesahau na rape, hii kule wahalifu wanaona ni kawaida kubaka.
South carjacking, house robbery, murder and rape ujitayarishe navyo.
Sehemu salama kwako, labda uende sehemu za utalii. Kidogo huko polisi wanapalinda sana.
Sababu ya crime kuwa juu, South Africa. Wanasema baadhi tu ni Unemployment, Ufisadi mkubwa wa Serikali, hawajali tabaka la chini na Alcohol.
Hao wahalifu ni wageni tu ?...Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...
Hao wahalifu ni wageni tu ?...Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...
Akikujibu unitag...Hao wahalifu ni wageni tu ?...