Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
km ni hivyo SA panafaa zaidi kuliko huku TZ misukule ni mingi sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafadhali nifafanulie khs 26 groupNimeishi Johannesburg soweto, huko wanakoishi Wazulu Og, najua Life style ya Johannesburg,, nimeishi Broemfonteen - free state, huko wanapoishi Wasuthu Og mixer na Warangirangi, na hivi naandika hii comment nipo Cape town - Mitchell plain....!
Naweza kutoa uhalisia wa Maisha ya Dzonga coz nimeishi Majimbo 3 tofauti, watu hapa mnatoa Uhalisia wa South africa kwa kile uliona tu Hillbrow.....!
Mnalaumu tu Wageni wageni, hivi mnajua namna Gangstars groups 26, 27 na 28 zilivyochangia kuvuruga Maisha ya South Africa?
Na 99.9% of Gang members ni Raia.
Umekaa jimbo moja tu la Gauteng Province halafu useme unaijuwa South Africa hivi ni vituko navyo.
Halafu bado hujui hata maana ya hotel ni nini na appartment ni nini, hakuna Mgeni yoyote anaweza kuishi hotelini, labda vacation short stay tu.
Namba za wajelajela hizo.tafadhali nifafanulie khs 26 group
Khe? Kweli mungu aliumba Dunia na maajabu yake [emoji23]Nimekaa 4 yrs. Nilifikia Hillbrow then Sunyside Pretoria kisha Sandton. So napajua South Kuliko Maelezo. Hillbrow nilikuwa nakaa Flamingo Hotel Jengo la Tatu toka Mnara unaoitambulisha Johanesburg. Kanisa nililokuwa Nasali hizi ndo picha za baba Askofu wetu
Mmmh.Tatizo lako inaonekana umekariri vitu! Makazi ya kudumu yes Gauteng. Lakini Capetown,Durban, Mpumalanga na kwengineko nimefika na pia short stay za maana! kama umefika South Uwezi shangaa mtu kuishi Hotelini zaidi ya miaka 2 mpaka 6
Dah bongo sihami.Wakati nnaishi Sauz! Ata Police walio Off wanatembea wawiliwawili- Kuna siku tulimwalika mmoja kwenye part akaja na mwenzake ambae nae yupo off! Nilipokuwa naongea nao waliniambia kuwa wahalifu wanaowakamata mara nyingi ata kama bado awajafungwa kesi zao zinaendelea mahakamani huwavizia na kuwaua. Pale kila mmoja wao alikuwa na Bastola full loaded . Hospital za South zina askari geting pamoja na Detekta za silaha, Wakikukosa kukuhuwa Kitaa, wanakuja hospital kukumaliza😭. Kuna mitaa kutolewa Bunduki ni kawaida, Malaya kukuuza kwa Majita kama umejionyesha wewe unazo ni kitu cha kawaida.Siku moja Dogo alikuwa anatoka Super market ambayo ni kama Nusu KM. Mpaka anafika tunapokaa amekabwa mara sita na makundi tofauti tofauti ya vibaka🤣 Kundi la sita walimkuta amebakiwa na pipi kifua tu.
Ongezea na upatikanaji rahisi wa silaha,madawa ya kulevya,na sheria zao za uhamiaji...Umesahau na rape, hii kule wahalifu wanaona ni kawaida kubaka.
South carjacking, house robbery, murder and rape ujitayarishe navyo.
Sehemu salama kwako, labda uende sehemu za utalii. Kidogo huko polisi wanapalinda sana.
Sababu ya crime kuwa juu, South Africa. Wanasema baadhi tu ni Unemployment, Ufisadi mkubwa wa Serikali, hawajali tabaka la chini na Alcohol.
80 kama sio 90%Akikujibu unitag...
Wanakisia tu inaweza kuwa ni 60%. Japo Waziri wao wa ulinzi ameshasema, tatizo siyo wahamiaji.80 kama sio 90%
Nipo Eastern cape kuna mdada kapata tuzo ya ubunifu device ya kukamata wabakaji....kama ushaona Watoto wa shule wa SA wanavyovaa,pia sheria inaruhusu MTU mzima Ku consent kingono na binti wa miaka 16,chini ya hapo Kosa kisheria..Wanakisia tu inaweza kuwa ni 60%. Japo Waziri wao wa ulinzi ameshasema, tatizo siyo wahamiaji.
Tatizo ni wasouth wenyewe. Katika wahamiaji laki 5 na 44, walio magerezani kwa makosa ya uhalifu, ni 18,000.
Wasouth wako nusu milioni magerezani kwa uhalifu.
MWezi January na March pekee wanawake 10,000 wamebakwa na wazawa wenyewe siyo wahamiaji.