Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Maisha ya Afrika Kusini siyo poa

Police wa sauzi wanawachekea wahalifu. Kwani bunduki Kazi yake nini.
Wakati nnaishi Sauz! Ata Police walio Off wanatembea wawiliwawili- Kuna siku tulimwalika mmoja kwenye part akaja na mwenzake ambae nae yupo off! Nilipokuwa naongea nao waliniambia kuwa wahalifu wanaowakamata mara nyingi ata kama bado awajafungwa kesi zao zinaendelea mahakamani huwavizia na kuwaua. Pale kila mmoja wao alikuwa na Bastola full loaded . Hospital za South zina askari geting pamoja na Detekta za silaha, Wakikukosa kukuhuwa Kitaa, wanakuja hospital kukumaliza😭. Kuna mitaa kutolewa Bunduki ni kawaida, Malaya kukuuza kwa Majita kama umejionyesha wewe unazo ni kitu cha kawaida.Siku moja Dogo alikuwa anatoka Super market ambayo ni kama Nusu KM. Mpaka anafika tunapokaa amekabwa mara sita na makundi tofauti tofauti ya vibaka🤣 Kundi la sita walimkuta amebakiwa na pipi kifua tu.
 
For ur information. Hakuna nchi nzuri kuishi kama Dizonga

Huo uhalifu unao uzungumzia ni baadhi ya sehemu za Johane
Kule ni kama vile Dar kuna masaki, Mwananyamala, Sinza etc. - Johanesburg Hillbrow mfano ni kama Mwananyamala (roba za mbao n.k) Sandton ni kama Masaki- full kamera na doria za Police- ukionekana unatembea kwa miguu tu Police lazima wakusimamishe wajue unaenda wapi na ni nani wewe! Na barabara za kuingia sehemu za wanaokaa matajiri kuna road block zinazohamishika kila dakika. Ukifikia Mashenzini kweli utaiona Sauz ni ya kikatili na Umalaya kama vile Wageni (wakongoman na Wanaijeria wanaoishi Kinondoni na Mwananyamala) daima watasema Dar apafai!
 
Dzonga dzulu
Kuna lesson kubwa sana ya maisha pale
Niliishi zaidi ya mwaka nimejifunza mengi

lakini kwa sasa naona pale kuna fursa kubwa sana ya kutoboa
Mwanzo ugeni na kutoelewa lakini nataka niende tena kubadili mentality ya wabongo wengi kwamba ili utoboe lazima uuze unga na skanka
 
For ur information. Hakuna nchi nzuri kuishi kama Dizonga

Huo uhalifu unao uzungumzia ni baadhi ya sehemu za Johane
Johanesburg and Sandton Tufauti yake
 

Attachments

  • ADE50126-14B5-496E-B070-F78DA13E1D1E.jpeg
    ADE50126-14B5-496E-B070-F78DA13E1D1E.jpeg
    61.1 KB · Views: 98
  • DD1D030D-8EF3-48EE-B8FC-DA625A824F81.jpeg
    DD1D030D-8EF3-48EE-B8FC-DA625A824F81.jpeg
    57.5 KB · Views: 94
  • E8F2A8ED-1B6D-4D21-9C41-C5F572737B27.jpeg
    E8F2A8ED-1B6D-4D21-9C41-C5F572737B27.jpeg
    73.2 KB · Views: 88
  • C6468DE6-AA20-48FB-A96A-C1411A5FFDE6.jpeg
    C6468DE6-AA20-48FB-A96A-C1411A5FFDE6.jpeg
    59.4 KB · Views: 88
  • 6CF4243A-D274-41A3-B6BE-C36D36EFD68A.jpeg
    6CF4243A-D274-41A3-B6BE-C36D36EFD68A.jpeg
    11.1 KB · Views: 95
  • F5A7574D-35F8-4F0C-9A95-E1428D684821.jpeg
    F5A7574D-35F8-4F0C-9A95-E1428D684821.jpeg
    92.3 KB · Views: 93
  • DB4C45AE-6280-47A3-AC71-BF37D9A87905.jpeg
    DB4C45AE-6280-47A3-AC71-BF37D9A87905.jpeg
    35.9 KB · Views: 102
Umesahau na rape, hii kule wahalifu wanaona ni kawaida kubaka.
South carjacking, house robbery, murder and rape ujitayarishe navyo.
Sehemu salama kwako, labda uende sehemu za utalii. Kidogo huko polisi wanapalinda sana.

Sababu ya crime kuwa juu, South Africa. Wanasema baadhi tu ni Unemployment, Ufisadi mkubwa wa Serikali, hawajali tabaka la chini na Alcohol.
Hakuna kitu kama hicho... danganya danganya tu.... Sababu kubwa ya crime SA ni miafrika yote kujazana ..... hawan vibali Joburg Kuna wageni wengi kuliko wenyeji...

and all these foreign nationals have got no papers, majority are rejects in their countries and are drug dealers.

Jozi imeharibiwa na wageni... nenda Hillbrow utakutana na wahuni wote wa Kariakoo na miNijeria imejazana. Na Hawa ndio wezi wa kutupwa. Tusiwalaumu Wasouth kwenye hili... wakijaribu kuchukua nchi Yao tunasema ni mibaguzi. Is it even fair? would Tanzanians allow such huge number of foreign nationals in their capital, Dar es Salaam? South Africans are so creative and intelligent. Wqmeshindwa kucontrol nchi Yao sababu ya wageni.... na Sasa hivi nadhani wageni ni wengi kuliko wenyeji... na wakianza kuwafukuza utaskia tuliwasaidia kupambana na ubaguzi... viongozi wanakuwa wapole.


Nina mengi ya kuandika saana maana niweza kujionea kwa macho yangu.
 
Back
Top Bottom