Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujasoma uzi wote, Ni kweli kuna wafanyabiashara matajiri lakini wapo wachache, mfano hapo Kariakoo unaweza kuta mtu moja anamiliki maghorofa 20, Lakini kuna wafanyabiashara wengi sana wanaishi maisha magumu kuzidi watumishi wa serikalini wanaosemwa wanaishi maisha magumu.Kazi pekee inayozidi biashara ni UFISADI, hapa unajipigia tu bilioni zako kadhaa, unahamishwa kitengo maisha yanaendelea.
Lakini duniani kote, hata hapa Tanzania, huwezi kukuta mfanyakazi akamtambia mfanyabiashara. Unataka ushahidi tuanzie Kariakoo, maghorofa yote unayoyaona yanamilikiwa na wafanyabiashara!
TUKIONDOA WIZI SERIKALINI! utarudi hapa kutengua kauli!
Hiyo ni biashara kichaaa 🤣Biashala za wabongo
"Nunua bajaji moja, milioni 7, mpe dreva, kila siku atakuletea elfu 30, kwa wiki laki 2, kwa mwezi kwa mwaka utakua umetusua kimaisha.."
🤣🤣🤣🤣🤣 nimekuelewa.🤣🤣🤣🤣🤣
Kibongo bongo vitu ni vingi sana, Kodi zipo juu inabidi udanganye, Barabarani uwape kunguru weupe za kubrashia viatu bila risiti, n.k.Ngoja nikae kimya...nachojua biashara inahitaji nidhamu ya asilimia 100...ukafanikiwa haya ni cash flow tuu...
Usipojiongeza, biashara kwenye midomo huwa ni nyepesi sanaBiashala za wabongo
"Nunua bajaji moja, milioni 7, mpe dreva, kila siku atakuletea elfu 30, kwa wiki laki 2, kwa mwezi kwa mwaka utakua umetusua kimaisha.."
Ni lazima ujipange sana, mfanyabiashara yupo radhi wenzake mia na familia zao walale njaa yeye ateke soko, ajabu ni kwamba anaelala njaa bado atamsifia anaemfanya alale njaaBiashara ni moto mwingine mkuu acha tu
Ndio maana nasema biashara ni za moto sana mkuu...Ni lazima ujipange sana, mfanyabiashara yupo radhi wenzake mia na familia zao walale njaa yeye ateke soko,
Wewe utakuwa unawzungumzia machinga watembeza bidhaa,mama ntilie,wauza mihogo ya kukaa etc.Hujasoma uzi wote, Ni kweli kuna wafanyabiashara matajiri lakini wapo wachache, mfano hapo Kariakoo unaweza kuta mtu moja anamiliki maghorofa 20, Lakini kuna wafanyabiashara wengi sana wanaishi maisha magumu kuzidi watumishi wa serikalini wanaosemwa wanaishi maisha magumu.
Biashara zina tamaa, mfanyabiashara yupo radhi afaidike peke yake wenzake mia walale njaa, Ni tofauti na serikalini mishahara inaendelea kuingia .
Ajira zipo chache si kila mtu anaweza kupata ila kwa waliopata walau wapo safe zone hasa wale ambao ndugu hawabebani, ubinafsi, mitaji midogo, hakuna mentors wa kuwapa uzoefu, n.k.Akili za kitoto sana, unataka watu wote waajiriwe serikalini?
Kabisa Tz muda wowote mambo yanakubadilikia kama ni mtumish fungua na biashara.Ukiwa mtumish na ukafanya BIASHARA unakuw na win rate kubwa kikubwa upate mtu sahihi wakuw kwenye biashara yako wakat upo Kazn
Tz mifumo yetu ni migumu ukikurupuka kuacha kaz udandie BIASHARA unawez kuumia pia (kuangukia pua
Juzi nimekataa mkataba wa ajira kwa mara nyingine tena.Hahaaa hajui mfanya biashara wewe unapata muda wa kwenda mpaka Dubai. Mtumishi wa Vikindu Primary hata Kkoo ana miezi 7 hajafikapo 😂😂😂
Kabisa Tz muda wowote mambo yanakubadilikia kama ni mtumish fungua na biashara.Ukiwa mtumish na ukafanya BIASHARA unakuw na win rate kubwa kikubwa upate mtu sahihi wakuw kwenye biashara yako wakat upo Kazn
Tz mifumo yetu ni migumu ukikurupuka kuacha kaz udandie BIASHARA unawez kuumia pia (kuangukia pua