Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

Watu hawaelewi biashara nadhani....as long as you enjoy it it's worth it.
Watu wanakesha au kulala saa Moja but it's worth every moment.
Huezi elewa kama sio mfanya biashara.
business is a game, a game should have laws for players, its sad in Tz the laws are against players in favour of the greedy system and some very few players, its basically a ghetto street fight and survivor of / with the fittest in the jungle.
 
Fanya kisomo unapotaka kuanza rasmi biashara yako itakusaidia kukuondolea husda .
 
wewe unafikiri watu wakisema mfanyabiashara wanamaanisha MCHUUZI tu.
Ndio nakwambia hvyo kipindi cha Corona wafanyabiashara walipitia kipindi kigumu ila kina bill gate na markzugberg jeff Bezos na Elon musk walikuwa wanakunja nne pesa inaingia tu kama unataka kuwa billion tafuta namna ya kuwaunganisha watu achana na mambo ya kwenda china kuchukua mafamba YouTube and uber sell nothing.
 
Swali murua sana hili mkuu.
 
100%
 
Ni vzur kuajir watu baki sio ndugu,ndugu wape ajira ya kusogeza boksi
umoja ni kitu muhimu zaidi kwa mazingira yetu, ndio maana waarabu na wahindi wapo mbali sana hapa bongo, wanaofatia wachaga, wakinga, waha, n.k. umoja ni nguvu wanawekana wao kwenye biashara na kuaminiana, ukija kwengine huku ndugu anaanza kukuibia lazima uweke watu baki.
 
YouTube and Uber sell their platform.....Nyuma ya YouTube na Uber Kuna investment kubwa sana.
Huezi elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…