Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,454
Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa .
Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na husda za walimwengu kuna dawa utapewa unywe kama uliwahi kulishwa uchawi basi utatapika uchawi wote zipo dawa za kukuondolea mikosi na kukukinga dhidi ya uchawi na wabaya wako.
Gharama zake sio nyingi kipimo kuanzia Tsh mia 5 tu.
Ukishindwa basi jitahidi KUSALI/KUSWALI SANA baadhi ya binadamu sio viumbe wazuri.