Maisha ya bongo!

Ameen!
 
Nimeipenda hii! πŸ€›
 
Pole mkuu, maisha hayana maaana.

Unakuta boss kanunulia Mbwa wake wawili maini rosti kilograms 3 na maziwa Lita 2 na bado hao mbwa wenyewe hawali hizo zaga πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Pole mkuu, maisha hayana maaana.

Unakuta boss kanunulia Mbwa wake wawili maini rosti kilograms 3 na maziwa Lita 2 na bado hao mbwa wenyewe hawali hizo zaga πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Na siku mizuka ikiyapanda yanamtafuna....kama Mzee Kingunge(RiP)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…