Maisha ya bongo!

Maisha ya bongo!

😁 baada ya miaka mitano kwenda kumi hizi financial issues zitakata nitakuwa nmesajili kampuni na itakuwa na kuenea Africa mashariki na kati na kuzalisha biashara nyingine , itaondoa umaskini na shida zangu na za uzao wangu milele na milele, nitawapa ushuhuda hapa hizi ni nyakati tu zinapita comrade instagram
Ameen!
 
Nimeipenda hii! 🤛
 
Pole mkuu, maisha hayana maaana.

Unakuta boss kanunulia Mbwa wake wawili maini rosti kilograms 3 na maziwa Lita 2 na bado hao mbwa wenyewe hawali hizo zaga 😄😄😄😄
 
Na siku mizuka ikiyapanda yanamtafuna....kama Mzee Kingunge(RiP)
 
Back
Top Bottom