Inaendelea..
Baada ya wiki hivi ndio nilikutana na reggy kwa miadi palepale pa jana tukakutana. Tukaongea pale na nilimpa sharti moja tu. Kupima vvu na kuhama, kuanzia chuo, mkoa, kozi akasomee teaching kwa sabb alifanya Sayansi na pale alikuwa akisomea kozi ya sayansi niliamini akapata ualimu chap kwa masomo ya sayansi.
Reggy alinijibu palepale. Yuko tayari hata kuanzia hapohapo. Huyu dem kweli bana alitafuta chuo na akahama. Nikawa nasafiri kwa mke mdogo. Regina kwa sasa yupo nchini Canada kama lecturer lugha ya kiswahili.
Shani alikuja akatoa mimba zangu. Ndio nilivuoona hafai, kuna siku alikwenda kutoa mimba wakati sikukutana naye miez mitatu. Kwanza ilikuwa hivi. Nilisafiri kama miezi minne nikawa ule mwez wa tatu nilikuja bongo one time. Ile nikutane nae, akadai anaumwa, kutokana nanfani yangu akadai yuko MP nikasema okay, sasa nikaona dalili sio mp nikamtime nikachukua damu kwenda nayo maabara, kupima ina dalili zote za mimba.
Alivyogundua kosa lake alikata mguu, nikiwa nimerejea nikamfata kwao, mapokezi yalikuwa ya ajabu sana. Mmh nikaa pembeni nikalambwa matusi na mama mkwe mamaake mdg. Nikaona sio kesi nikasepa.
Shani akapata mshkaji ana asili ya kwao. Basi nikawa mpole. Hawakudumu sana, eti shani akarudi kwangu. Duh nikasema hii balaa sasa kwa sababu nijikaza kiutu uzima nikaona kama imejileta yenyewe kwanini niiache, nikaifunua, ivi kumbe kurma zinaota sugu aisee nilishangaa sana..yaani imepigwa nikajiona kumbe mimi cha mtoto kuna watu wanavyuma.
Nae sikukaa naye muda mrefu nikamkataa. Hadi leo ananitafuta. Anataka anipe mzigo nakimbia
ii
Mwisho