Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Tatizo unadhani asset ni nyumba, kiwanja au shamba pekee.

Hata majiji makubwa duniani watu hawanunui majumba au viwanja.

Wao wanaweka assets zao kwenye pesa, hisa, bonds n.k. hata hawa wahindi wanaoishi kwenye maghorofa kisutu, unahela kuwashinda wao? Ila ukiona bank acoount yake utashika kichwa. Wewe unabaki na kiwanja chako Illeje huko unaona umetusua maisha.

Unakuta mtu amefanya mishe miaka 20 aka-save hata $5M.

Ndo anaenda nje ya mji, ananunua nyumba anastaafia huko.
 
Mimi sihitaji style hiyo
 
Ukiishi Dar lazima uwe mchoyo hata kama ulikuwa Mkarimu vipi
Inaonyesha huo mjini ni ngumu sana
Kuna jamaa nimesoma nao na wengine ni Ndugu kabisa tukikutana huko vijijini wanakuomba ukija Dar nicheck basi tuonane Mkuu
Fika Dar basi muambie niko Dar
Atakuambia niko Morogoro Ndugu yangu nitarudi kesho
Mwingine; Niko Dodoma
Ili mradi tu achomoe kwa sababu anajua tukionana tutakaa kwenye moja mbili tatu na choma na mfukoni hana kitu akiambiwa aongezee 7000 kwenye bili ya 47000 utamhurumia

Ushauri
Rudini mikoani Maisha yako fresh sana msipoteze muda
 
Ili ujue Dar pagumu na hakuna namna lazima watu kujiongeza Wanawake wote Dar ni malaya hadi walioko kwenye ndoa kikubwa tu awe na simu janja
Siku hizi watu hawatongozani barabarani
Mtu anakufollow instagram siku ya kwanza ya pili anatoa namba watu wanayajenga wanapanga wanakutana mahali wanamaliza mke anafuta mdomo anarudi home Maisha yanaendelea.
Nawatahadharisha wanaume wenzangu
Kuna mtandao hatari sana unaitwa Tinder
Usishangae kumkuta mkeo huko anauza sura kuongeza kipato nyumbani
Messenger ya Facebook pia ndio wadada wanakamatiwa huko.
Hili ni janga.
 
Dar kuna mambo mengi, mikaoni kuna mambo machache, cha muhimu uwe na pesa popote kambi...
 
 
Hapa naona ni maelezo ya dar na vijijini mkuu umeambiwa mkoani we umeenda mkoani ukachagua vijiji ndo ukawa una vielezea
Mkoani ni sawa sawa na vijiji vikubwa tu,hamna kipya......ukienda mikoa yote kuanzia mikoani hadi wilayani ukabila,udini,ushamba,ubaguzi ni kawaida tu......Dar hamna huu upuuzi hata unaishi uswahili ndani ndani huko
 
Dar chumba kimoja elfu 70
Umeme elfu 20
Maji elfu 10
Usafi na taka elfu 5
JUMLA KWA MWEZI 105,000
Kipato 220,00

Mikoani chumba kimoja elfu 30
Umeme elfu 5
Maji 2000
JUMLA KWA MWEZI 37,000
Kipato 350,000.
Kwan bei ya umeme na maji kwa dar ni tofauti na bei ya mkoani?

Alafu, kwan daktari wa dar analipwa mshahara tofauti na daktar wa mkoan mwny elimu ile ile??
 
Mpaka sasa hivi naona Maisha ya mikoani yanapigwa KO na maisha ya Dar...sasa wale ndugu zetu wanaosemaga vijana tutoke Dar twende mikoani ambako life ni easy mbona siwaoni?

@waangari maathai
 
Huwa napitia comments zao afu nakaa kmya. Mkoan mtu kupata kibarua cha kulipwa 10k ni vigumu. Afu unategemea mtu huyo huyo awe na purchasing power kubwa kweli?

Akat dar, mtu kupata kibarua cha 20k ni dakika 0 tu
 
Arusha maisha ni ya kishamba sana.

Hakuna fursa za kueleweka.
Arusha Gharama za maisha zko juu sanaaaa, in short tangu niondoke Moshi mwaka 2016 cjawahi kuvutiwa kurudi tena. Yaaan arusha na moshi kuzuri kwenda kutalii sio kuishi
 
Kila mtu awini mechi zake, sio lazma wote tuishi dar/mikoani.
 
Mkoani ni sawa sawa na vijiji vikubwa tu,hamna kipya......ukienda mikoa yote kuanzia mikoani hadi wilayani ukabila,udini,ushamba,ubaguzi ni kawaida tu......Dar hamna huu upuuzi hata unaishi uswahili ndani ndani huko
Hz tabia za udini watu wa mikoan wamehamia nazo dar. Eti unaenda kupanga room mtu anakuuliza ww dini gan qmammmqe huwa naboreka knoma
 
Huwa napitia comments zao afu nakaa kmya. Mkoan mtu kupata kibarua cha kulipwa 10k ni vigumu. Afu unategemea mtu huyo huyo awe na purchasing power kubwa kweli?

Akat dar, mtu kupata kibarua cha 20k ni dakika 0 tu
We acha tu mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu usafiri mkoani hiyo 400 unaweza kwenda na kufika unapikwenda unlike Dar ambapo connections za usafiri ni nyingi kutoka point A kwenda B unaweza kupanda magari mawili au matatu plus bajaj au bodaboda. Na hizo safari zote zitachukuwa nusu ya siku yako kwasababu ya foleni za hapa na pale.
 
Pamoja na yote dar inanishinda kwa joto na foleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…