Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Dar unaweza kuishi miaka 6+ huna hata asset yoyote au unazeeka kwenye chumba kimoja na watoto kwa mimi ninae anza maisha nimeamua nianzie maisha mkoani ambako naweza kujenga hata mjin sehem nayopata huduma zote za kijamii kwa gharama ambayo kwa dar ningeenda kuish nnje ya mji kabisa huko
ila nikishajijenga vzur huku mkoan naweza nikaamua nihamie huko nkiwa naweza kuyamudu maisha bila Changamoto nyingi
Tatizo unadhani asset ni nyumba, kiwanja au shamba pekee.

Hata majiji makubwa duniani watu hawanunui majumba au viwanja.

Wao wanaweka assets zao kwenye pesa, hisa, bonds n.k. hata hawa wahindi wanaoishi kwenye maghorofa kisutu, unahela kuwashinda wao? Ila ukiona bank acoount yake utashika kichwa. Wewe unabaki na kiwanja chako Illeje huko unaona umetusua maisha.

Unakuta mtu amefanya mishe miaka 20 aka-save hata $5M.

Ndo anaenda nje ya mji, ananunua nyumba anastaafia huko.
 
Tatizo unadhani asset ni nyumba, kiwanja au shamba pekee.

Hata majiji makubwa duniani watu hawanunui majumba au viwanja.

Wao wanaweka assets zao kwenye pesa. Unakuta mtu amefanya mishe miaka 20 aka-save hata $5M.

Ndo anaenda nje ya mji, ananunua nyumba anastaafia huko.
Mimi sihitaji style hiyo
 
Ukiishi Dar lazima uwe mchoyo hata kama ulikuwa Mkarimu vipi
Inaonyesha huo mjini ni ngumu sana
Kuna jamaa nimesoma nao na wengine ni Ndugu kabisa tukikutana huko vijijini wanakuomba ukija Dar nicheck basi tuonane Mkuu
Fika Dar basi muambie niko Dar
Atakuambia niko Morogoro Ndugu yangu nitarudi kesho
Mwingine; Niko Dodoma
Ili mradi tu achomoe kwa sababu anajua tukionana tutakaa kwenye moja mbili tatu na choma na mfukoni hana kitu akiambiwa aongezee 7000 kwenye bili ya 47000 utamhurumia

Ushauri
Rudini mikoani Maisha yako fresh sana msipoteze muda
 
Ili ujue Dar pagumu na hakuna namna lazima watu kujiongeza Wanawake wote Dar ni malaya hadi walioko kwenye ndoa kikubwa tu awe na simu janja
Siku hizi watu hawatongozani barabarani
Mtu anakufollow instagram siku ya kwanza ya pili anatoa namba watu wanayajenga wanapanga wanakutana mahali wanamaliza mke anafuta mdomo anarudi home Maisha yanaendelea.
Nawatahadharisha wanaume wenzangu
Kuna mtandao hatari sana unaitwa Tinder
Usishangae kumkuta mkeo huko anauza sura kuongeza kipato nyumbani
Messenger ya Facebook pia ndio wadada wanakamatiwa huko.
Hili ni janga.
 
Dar kuna mambo mengi, mikaoni kuna mambo machache, cha muhimu uwe na pesa popote kambi...
 
Ili ujue Dar pagumu na hakuna namna lazima watu kujiongeza Wanawake wote Dar ni malaya hadi walioko kwenye ndoa kikubwa tu awe na simu janja
Siku hizi watu hawatongozani barabarani
Mtu anakufollow instagram siku ya kwanza ya pili anatoa namba watu wanayajenga wanapanga wanakutana mahali wanamaliza mke anafuta mdomo anarudi home Maisha yanaendelea.
Nawatahadharisha wanaume wenzangu
Kuna mtandao hatari sana unaitwa Tinder
Usishangae kumkuta mkeo huko anauza sura kuongeza kipato nyumbani
Tena anatoa rough road(kinyume na maumbile) Wewe mwenye Mali ndio unayepewa huku kulikozoeleka
Messenger ya Facebook pia ndio wadada wanakamatiwa huko.
Hili ni janga.
 
Hapa naona ni maelezo ya dar na vijijini mkuu umeambiwa mkoani we umeenda mkoani ukachagua vijiji ndo ukawa una vielezea
Mkoani ni sawa sawa na vijiji vikubwa tu,hamna kipya......ukienda mikoa yote kuanzia mikoani hadi wilayani ukabila,udini,ushamba,ubaguzi ni kawaida tu......Dar hamna huu upuuzi hata unaishi uswahili ndani ndani huko
 
Dar chumba kimoja elfu 70
Umeme elfu 20
Maji elfu 10
Usafi na taka elfu 5
JUMLA KWA MWEZI 105,000
Kipato 220,00

Mikoani chumba kimoja elfu 30
Umeme elfu 5
Maji 2000
JUMLA KWA MWEZI 37,000
Kipato 350,000.
Kwan bei ya umeme na maji kwa dar ni tofauti na bei ya mkoani?

Alafu, kwan daktari wa dar analipwa mshahara tofauti na daktar wa mkoan mwny elimu ile ile??
 
Mpaka sasa hivi naona Maisha ya mikoani yanapigwa KO na maisha ya Dar...sasa wale ndugu zetu wanaosemaga vijana tutoke Dar twende mikoani ambako life ni easy mbona siwaoni?

@waangari maathai
 
Huko mkoani njaa kali mi nakwambia....likizo zangu nilikuwa nazitumia kuchakarika huko mikoani ( kutafuta pesa)

Asee niliambulia za uso, watu wa mikoani wengi hawana hela ukileta bidhaa kuuza ni mwendo wa kukulilia uwakopeshe na kupunguziwa bei

Sasa sijajua hao wanaosifia mikoani kwa pesa, binafsi sikufanikiwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huwa napitia comments zao afu nakaa kmya. Mkoan mtu kupata kibarua cha kulipwa 10k ni vigumu. Afu unategemea mtu huyo huyo awe na purchasing power kubwa kweli?

Akat dar, mtu kupata kibarua cha 20k ni dakika 0 tu
 
Arusha maisha ni ya kishamba sana.

Hakuna fursa za kueleweka.
Arusha Gharama za maisha zko juu sanaaaa, in short tangu niondoke Moshi mwaka 2016 cjawahi kuvutiwa kurudi tena. Yaaan arusha na moshi kuzuri kwenda kutalii sio kuishi
 
Ukiishi Dar lazima uwe mchoyo hata kama ulikuwa Mkarimu vipi
Inaonyesha huo mjini ni ngumu sana
Kuna jamaa nimesoma nao na wengine ni Ndugu kabisa tukikutana huko vijijini wanakuomba ukija Dar nicheck basi tuonane Mkuu
Fika Dar basi muambie niko Dar
Atakuambia niko Morogoro Ndugu yangu nitarudi kesho
Mwingine; Niko Dodoma
Ili mradi tu achomoe kwa sababu anajua tukionana tutakaa kwenye moja mbili tatu na choma na mfukoni hana kitu akiambiwa aongezee 7000 kwenye bili ya 47000 utamhurumia

Ushauri
Rudini mikoani Maisha yako fresh sana msipoteze muda
Kila mtu awini mechi zake, sio lazma wote tuishi dar/mikoani.
 
Mkoani ni sawa sawa na vijiji vikubwa tu,hamna kipya......ukienda mikoa yote kuanzia mikoani hadi wilayani ukabila,udini,ushamba,ubaguzi ni kawaida tu......Dar hamna huu upuuzi hata unaishi uswahili ndani ndani huko
Hz tabia za udini watu wa mikoan wamehamia nazo dar. Eti unaenda kupanga room mtu anakuuliza ww dini gan qmammmqe huwa naboreka knoma
 
Asante sana mkuu...Lakini, kwani mikoani mavazi, chakula, usafiri na makazi ni bure?...Kuhusu usafiri mbona Dar asilimia kubwa nauli ni 400...kwani mikoani wanatembea kwa miguu au wanapanda gari bure?...Unless ungenambia swala la kodi..lakini hata kwa chakula, mchele kilo moja hata kwa 1100 unapata huku dar..gharama za chakula zipo juu kwa anaenunua tu mgahawani...hebu njoo unipangue kwa hoja mkuu...
Kuhusu usafiri mkoani hiyo 400 unaweza kwenda na kufika unapikwenda unlike Dar ambapo connections za usafiri ni nyingi kutoka point A kwenda B unaweza kupanda magari mawili au matatu plus bajaj au bodaboda. Na hizo safari zote zitachukuwa nusu ya siku yako kwasababu ya foleni za hapa na pale.
 
Nimeishi mikoani pia nimeishia Dar,kwa kazi ile ile mshahara ule ile nitatoa uzoefu wangu kwenye aspect zifuatazo.
1.Social
A.Ukabila,udini
Dar ni sehemu ambayo haina ubaguzi,ni sehemu unayoweza pata rafiki mpenzi wa kabila,dini,rika na kazi yeyote ile mwenye tabia na shepu unayoitaka.
mikoani unaweza kosa mtu unayemuhitaji,kuna sehemu ukienda hakuna waislamu,zingine hakuna wakristo,zingine hakuna Madaktari,Mainginia wala wanasheria,........yaani unaweza ishi sehemu 80 % ni watu wa kabila moja tu,wanaongea kilugha chao ....Dar huu upuuzi hamna
2.Kibiashara.
Dar kila biashara inafanyika usiku na mchana hakuna kukesha,wateja wakija hawana muda wa kuulizia dini kabila wala umetoka wapi,wanahitaji bidhaa.
Mikoani ni vituko kuna sehemu ukienda kama wewe sio wa kabila lao,hupati wateja hata kama unauza bidhaa bei chini na bora sawa na wao,halafu biashara hazifanyiki muda wote .....hapa kuna sehemu nimefika mjini kabisa eti nimekosa nyama mabucha yamefungwa[emoji1][emoji1787],sasa si uhanithi huu.
Hizi biashara za kudeal na watu mikoani ndio kabisa,yaani daktari uende mkoa flani hujui kilugha chao,wakati kuna kijana kutoka kwao,watu wapo tayari wafe lakini huwagusi.
Tatizo jingine mikoani hamna kila kitu,mfano kanda ya ziwa ni ngumu sana kupata pweza,ngisi na products za baharini wakati Dar kila kitu cha mkoani utakipa kwa bei yeyote ile unayoitaka ......yaani hata sato fresh Dar
watu wanakula tu hawana habari.
3.Usafiri.
Hii sehemu nilipo boda boda ikinyesha mvua hawaendi hata iweje[emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1],wakati Dar hata maradi yapige usiku kucha watu hawana noma kiongozi....halafu mikoani gharama za usafiri ni ghali sana ukilinganisha na Pwani au Dar.....mfano kutoka Dar hadi Kibiti nauli elfu 5,mkoa mwengine kabisa ........kwa umbali huo huo mkoani nauli inaweza fika elfu 15 na usafiri ni wa ovyo mno
Mkoani wafanyakazi wa kawaida wanatumia hadi elfu 5 boda boda,Dar hio ni nauli wa wiki kwa wajanja wengi wanaojulia mji
4.Afya
Dar hospitali ni nyingi sana na maduka ya dawa yanakesha......mkoani kama una emeregency usiku kazi unayo aisee
Hata madaktari ni wachache pia.....yaani hata wazawa wasomi wa mikoani hua hawataki kuishi[emoji1787][emoji16][emoji119]
5.Mzunguko wa pesa
Dar ni mkubwa,viwanda,ofisi etc zipo za kutosha,mkoani ni vya kuhesabu.......kuna mikoa viwanda vya kuajili watu 100,kwa pamoja havifiki hata viwili,yaani kama hujasoma,wewe sio boda boda ulime tu kiongozi[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji119]
6.Giografia.
Mkoani sehemu inayofanana na Dar ni pale makao makuu tu ya mkoa tena kwa asilimia 10% tu..........ambapo utakuta labda baadhi ya watu wa makabila mengine wapo,ukienda wilayani ni vituko vitupu,huko hamna wahindi wala,wachaga,matajiri wao kwa wao tu wanaongea viligha vyao.......[emoji1787][emoji1787][emoji16],ukienda mgeni unaonekana mchawi,makazini/shuleni ndio usiseme watu wanaongea kilugha kazini kawaida tu kumkuta mwalimu anawaelekeza wanafunzi wa lugha za asili[emoji16][emoji16][emoji119]
7.Upatikanaji wa vitu/vyakula.
Mkoani vyakula ni bei rahisi vya kununua ambavyo havijaandaliwa(Raw foods),unaweza pata mkungu hata elfu 3,kuku elfu 5,mayai mia 2........ila changamoto hakuna vyakula vya aina yote.....unajua Dar kila vyakula vipo kutoka mkoa wowote ule Tz.....mikoani vilivyo cheap ni vile tu vinavozalishwa eneo husika.
General Dar ndio penyewe maana utapata unachotaka kutoka mkoa wowote ule.........ukienda mgahawani mikoani ukitaka wali maharage ni kawaida tu kuletewa wali na maharage yaliyochemshwa tu[emoji16][emoji1787][emoji1] ,hamna hata kitunguu, wakati unakuta huo mkoa unaongoza kulima vitunguu,labda na nafaka zinatoa mafuta.....

8.Psychological
Dar huwezi kua mpweke unaweza lazimisha weekend uende beach kula bata,halafu watu wapo social tu mjini mtu hata humjui munapiga tu stori kijiweni fresh tu....unaondoa stress kiaina.
Mkoani kijiweni wanaongea kilugha[emoji1787][emoji16],ukienda mgeni wanamute wanaogopa sana polisi au wanaamini unawachunguza.
9.Ustaarabu
Dar/Pwani ,watu ni wastaarabu tu,....ukienda hospitali watu wanajielewa fresh,mtu kama anajua kitu cha pesa anafight,shuleni walimu wakiagiza wanafunzi mchango wazazi wanatoa fresh tu......mkoani na hivi marehemu shujaaa waliwajaza ujinga,watu wanaweza mpiga hata mwalimu kwa kuchangisha hela ya tuition tu shillingi mia mbili apate chochote[emoji1787][emoji1][emoji1],hospitali Doctor akisema hii dawa haipatikani kanunue,tayari simu kwa DC,.....wakati mtu mtoto wake mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji16].......yaani watu ni wagumu sana kujiongeza mkoani mtu yupo tayari age aisee........halafu mkoani watu wanapenda
Kuchongeana sana,mwalimu ukiwa u akula wanafunzi msala......ushawahi sikia mwalimu wa Dar kakamatwa na mwanafinzi wa sekondari .......Dar hata mazazi akijua hana noma,anajua huyo mwanafunzi wa kike,dudu kaitaka mwenyewe hajalazimishwa[emoji16].
Kwa Kifupi mkoani sio sehemu ya kuishi kwa mtu anayependa maisha social ya kawaida tu ya kibongo ya kujichanganya popote.......sio sehemu nzuri ya kutafuta maisha na ndio maana vijana wengi wa mkoa wanakuja Dar/Pwani kutafuta maisha.......ushawahi ona kijana wa kizaramo,kindengereko eti ameenda mkoani kutafuta maisha?[emoji1787][emoji1][emoji1]
Pamoja na yote dar inanishinda kwa joto na foleni
 
Back
Top Bottom