Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Maisha ya Dar vs Maisha ya mikoani

Naunga mkono hoja kwa kwa asilimia 1000000000000000ⁿ. Yaan mikoani kuna mambo ya kiwaki kinomaaaa. nshawahi kwenda mwanza misungwi huko eneo linaitwa nsumbugu, nlienda kununua mchele yaan walivojua tu kwamba mm sio msukuma basi wakanpandishia bei. Asee nlikaa week mbili nkaamua kuondoka zangu
Hii pia mi ilinikuta Geita...nikapandishiwa bei ya vitu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya maisha ya dar kunichapa kisawa sawa, siku niliyopata kaupenyo ka kuchomoka nakumbuka usiku huo sikulala nilikuwa nawaza kutakucha saa ngapi niukimbie huu mji.

Ila dar nikijaliwa uzima lazima nirudi tu, kwa tabu nilizozipata lazima nizifidie tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sasa hivi umetusua?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Asante sana bro.
Ila kuhusu maisha ya Dar nakuunga mkono...Binafsi napenda na natamani maisha yangu yote yawe hukuhuku Dar....Nilizaliwa na kukulia mkoani kabla ya kuja Dar Muongo mmoja uliopita...Bila shaka, siwezi kuisahau ile safari ya kutoka Mkoani kuja Dar ile asubuhi ya tarehe 9. January mwaka ule.....Hadi leo sijui life langu lingekuwaje kama ningebaki mkoani. Kwangu Dsm ndio kila kitu.
 
Ila kuhusu maisha ya Dar nakuunga mkono...Binafsi napenda na natamani maisha yangu yote yawe hukuhuku Dar....Nilizaliwa na kukulia mkoani kabla ya kuja Dar Muongo mmoja uliopita...Bila shaka, siwezi kuisahau ile safari ya kutoka Mkoani kuja Dar ile asubuhi ya tarehe 9. January mwaka ule.....Hadi leo sijui life langu lingekuwaje kama ningebaki mkoani. Kwangu Dsm ndio kila kitu.
Kabisa yaaani dar ina raha yake kwa wapambanaji.
 
Mkuu..NAKATAA

1. sio rahisi mtu wa 220000 kukaa room ya 70k kwa mwezi..Asilimia kubwa wanakaa vya 30, 40 au 50
2. Umeme 20k Dar na 5k mwanza sijajua kama ni uhalisia...Kwani price/unit kwa dar na mza inatofautiana?...Kuna watu wanalipa 5k au 10 umeme kwa mwezi.
3. Maji...10k ni ndefu sana..
Dar mwenye nyumba anachangisha bili ya umeme na maji bila maelezo. Bili hamuioni, hata kama ni luku hataki maelezo ha ha ha.
Wewe hujawahi kukaa na wenye nyuma wababe...
 
Mpaka sasa hivi naona Maisha ya mikoani yanapigwa KO na maisha ya Dar...sasa wale ndugu zetu wanaosemaga vijana tutoke Dar twende mikoani ambako life ni easy mbona siwaoni?
Huko mkoani njaa kali mi nakwambia....likizo zangu nilikuwa nazitumia kuchakarika huko mikoani ( kutafuta pesa)

Asee niliambulia za uso, watu wa mikoani wengi hawana hela ukileta bidhaa kuuza ni mwendo wa kukulilia uwakopeshe na kupunguziwa bei

Sasa sijajua hao wanaosifia mikoani kwa pesa, binafsi sikufanikiwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dar mwenye nyumba anachangisha bili ya umeme na maji bila maelezo. Bili hamuioni, hata kama ni luku hataki maelezo ha ha ha.
Wewe hujawahi kukaa na wenye nyuma wababe...
sasa mzee..hizo ni tabia za mtu na mtu....hata landlords wastaarabu wapo pia kaka...
 
Swala la maisha katk utafutaji linategemea na mTu binafs katk mazingr Husika na Jambo Hilo limefanikiw kwake au halijafankiwa ila nasimama na Hoja hizi kwakuw Mimi nimeish dar tangu nazaliwa Hadi 24Years na nimefany biashar (nimepamban na maisha);-

Uwezekano wa kuwin maish dar upo mkubwa sana Zaid 75% Kama utakuw na ubunifu kwasababu zfuatazo
-ndio jiji kubwa tz(mzunguko wa pesa)
-ndio kwenye watu wengi
NB:-
katk watu 7 wanaokuja mjin kwa lengo la kusaka maisha mmoja Tuu ndio anafeli na inawezekan asifeli kbsa.

Japo kufanikiw kwakiasi kikubwa Zaid kunategemea na akili yako na malengo yako ulovyojipangia maan tunavyoongelea kufanikiw sio kupat Ela ya kula Kodi na kubdl nguo Zaid 3+yrs mjn

MKOANI
Wengi wanaofanikiw MKOANI ni wazawa original ambao wamebeba mawazo ya biashr kutok ktk family zao (urithi)
-wengi huuishi ktk mifumo ya kuzalsh chakula na utafutaji mdogo tuuu

-MKOAn kufanikiw ni mchakato kdogo ila ukishapat njia muelekeo basi unAwin sana na wamjin anaweZ asikukute kiuchimu
 
Huko mkoani njaa kali mi nakwambia....likizo zangu nilikuwa nazitumia kuchakarika huko mikoani ( kutafuta pesa)

Asee niliambulia za uso, watu wa mikoani wengi hawana hela ukileta bidhaa kuuza ni mwendo wa kukulilia uwakopeshe na kupunguziwa bei

Sasa sijajua hao wanaosifia mikoani kwa pesa, binafsi sikufanikiwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nimefarijika kuona umepambana sana...Inatia moyo kuliko kukaa kusubilia....Thumb up le super woman.
 
Mkuu ujue mimi nataka nijue unaegemea upande gani mi hapo namuunga mkono mtoa hoja io upande mmoja tu kwa hayo maelezo kama unajijua wewe unategemea mshahara wa serikali na huwezi jishughulisha na mishe nyingine, pakimbie dar hapakufai.

Hapo hapo pia kwa mtu alie makini na hategemei io serikali kwa harakati za hapa na pale(hapa huwa nawaita hustler na wako smart pia kichwani) dar panamfaa na ni rahisi kuendelea na kupata mafanikio,uko mkoani atakua anapoteza muda tu.

Kumbuka kuna watu pia wanajikuta hustler ila ni wale wanapiga sana kazi ila kichwani wako 0(wanapata pesa ila "wanazitapanya" kwa starehe za kijinga) hawa kuendelea ni ngumu ingawa wapo wachache kadri wanavotumia ndio wanapata nguvu ya kuzitafuta zaidi

Hapo kuhusu matumizi ya pesa huwezi mpangia mtu ila kwa maelezo ya mtoa mada anataka ajue, ni wapi ni rahisi kuendelea, kwa upande wangu naweza mjibu "dar" kwakua una uhakika mkubwa wa biashara yoyote kwenda vizuri kulingana na mzunguko wa pesa ulivo tatizo lipo hapa, unawezaje kua na nidhamu na pesa yako juu ya mjii kama huu wenye ushawishi mkubwa wa kuitumia pesa kwa starehe mbalimbali.
Huyo niliemjibu umesoma alichoandika? Kaandika huko mkoani mshahara 350,000 Dar mshahara 220,000 ndio nikamjibu nilivyojibu.
Kaeni huko mikoani ila kujipa moyo kwa uongo haibadilishi uhalisia.
 
Mkuu..NAKATAA

1. sio rahisi mtu wa 220000 kukaa room ya 70k kwa mwezi..Asilimia kubwa wanakaa vya 30, 40 au 50
2. Umeme 20k Dar na 5k mwanza sijajua kama ni uhalisia...Kwani price/unit kwa dar na mza inatofautiana?...Kuna watu wanalipa 5k au 10 umeme kwa mwezi.
3. Maji...10k ni ndefu sana..
hata mimi nimejikuta nashangaa huu mchanganuo wa jamaa ukiona unalipa umeme mpk 20k basi ujue unalipia wenzako,Dar ukiwa mjanja kutafuta chumba utaishi kwa raha sana mf. mi sijawahi kupanga kachumba kadogo toka nianze maisha ya kujitegemea na kodi haijawahi kuvuka 40k kwa mwezi.watu wengi mjini wamejenga nyumba kibiashara, kama ninapokaa saiv tupo wapangaji saba wanne wana luku yao na sisi watatu tuna luku yetu ambapo katika sisi watatu ni mmoja tu ndo mke wake anashinda nyumbani kiasi kwamba mwezi mzima tunajikuta tumetumia umeme wa 18k sasa hapo unadhani tunalipa ngapingapi kwa mwezi......ikija bili ya maji wenye familia wanalipa tofauti na walio single kama bili ya mwisho nimelipa buku sita tu,hao watu wa taka ndo hata kwa sura siwafahamu maana sishindi home muda mwingi nipo kwenye utafutaji.
 
Asante sana mkuu...Lakini, kwani mikoani mavazi, chakula, usafiri na makazi ni bure?...Kuhusu usafiri mbona Dar asilimia kubwa nauli ni 400...kwani mikoani wanatembea kwa miguu au wanapanda gari bure?...Unless ungenambia swala la kodi..lakini hata kwa chakula, mchele kilo moja hata kwa 1100 unapata huku dar..gharama za chakula zipo juu kwa anaenunua tu mgahawani...hebu njoo unipangue kwa hoja mkuu...
Labda kwenye suala la nyumba za kupanga naona Dar ni ghali sana wakati mikoani ni nafuu.
 
Naunga mkono hoja kwa kwa asilimia 1000000000000000ⁿ. Yaan mikoani kuna mambo ya kiwaki kinomaaaa. nshawahi kwenda mwanza misungwi huko eneo linaitwa nsumbugu, nlienda kununua mchele yaan walivojua tu kwamba mm sio msukuma basi wakanpandishia bei. Asee nlikaa week mbili nkaamua kuondoka zangu
Dah umenikumbusha Nsumbugu, Ishokela, Nyahiti na Ihelele chanzo cha maji ya Ziwa Victoria yaliyotembea mpaka Tabora.
 
Dar unaweza kuishi miaka 6+ huna hata asset yoyote au unazeeka kwenye chumba kimoja na watoto kwa mimi ninae anza maisha nimeamua nianzie maisha mkoani ambako naweza kujenga hata mjin sehem nayopata huduma zote za kijamii kwa gharama ambayo kwa dar ningeenda kuish nnje ya mji kabisa huko
ila nikishajijenga vzur huku mkoan naweza nikaamua nihamie huko nkiwa naweza kuyamudu maisha bila Changamoto nyingi
 
Nimeishi mikoani pia nimeishia Dar,kwa kazi ile ile mshahara ule ile nitatoa uzoefu wangu kwenye aspect zifuatazo.
1.Social
A.Ukabila,udini
Dar ni sehemu ambayo haina ubaguzi,ni sehemu unayoweza pata rafiki mpenzi wa kabila,dini,rika na kazi yeyote ile mwenye tabia na shepu unayoitaka.
mikoani unaweza kosa mtu unayemuhitaji,kuna sehemu ukienda hakuna waislamu,zingine hakuna wakristo,zingine hakuna Madaktari,Mainginia wala wanasheria,........yaani unaweza ishi sehemu 80 % ni watu wa kabila moja tu,wanaongea kilugha chao ....Dar huu upuuzi hamna
2.Kibiashara.
Dar kila biashara inafanyika usiku na mchana hakuna kukesha,wateja wakija hawana muda wa kuulizia dini kabila wala umetoka wapi,wanahitaji bidhaa.
Mikoani ni vituko kuna sehemu ukienda kama wewe sio wa kabila lao,hupati wateja hata kama unauza bidhaa bei chini na bora sawa na wao,halafu biashara hazifanyiki muda wote .....hapa kuna sehemu nimefika mjini kabisa eti nimekosa nyama mabucha yamefungwa[emoji1][emoji1787],sasa si uhanithi huu.
Hizi biashara za kudeal na watu mikoani ndio kabisa,yaani daktari uende mkoa flani hujui kilugha chao,wakati kuna kijana kutoka kwao,watu wapo tayari wafe lakini huwagusi.
Tatizo jingine mikoani hamna kila kitu,mfano kanda ya ziwa ni ngumu sana kupata pweza,ngisi na products za baharini wakati Dar kila kitu cha mkoani utakipa kwa bei yeyote ile unayoitaka ......yaani hata sato fresh Dar
watu wanakula tu hawana habari.
3.Usafiri.
Hii sehemu nilipo boda boda ikinyesha mvua hawaendi hata iweje[emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1],wakati Dar hata maradi yapige usiku kucha watu hawana noma kiongozi....halafu mikoani gharama za usafiri ni ghali sana ukilinganisha na Pwani au Dar.....mfano kutoka Dar hadi Kibiti nauli elfu 5,mkoa mwengine kabisa ........kwa umbali huo huo mkoani nauli inaweza fika elfu 15 na usafiri ni wa ovyo mno
Mkoani wafanyakazi wa kawaida wanatumia hadi elfu 5 boda boda,Dar hio ni nauli wa wiki kwa wajanja wengi wanaojulia mji
4.Afya
Dar hospitali ni nyingi sana na maduka ya dawa yanakesha......mkoani kama una emeregency usiku kazi unayo aisee
Hata madaktari ni wachache pia.....yaani hata wazawa wasomi wa mikoani hua hawataki kuishi[emoji1787][emoji16][emoji119]
5.Mzunguko wa pesa
Dar ni mkubwa,viwanda,ofisi etc zipo za kutosha,mkoani ni vya kuhesabu.......kuna mikoa viwanda vya kuajili watu 100,kwa pamoja havifiki hata viwili,yaani kama hujasoma,wewe sio boda boda ulime tu kiongozi[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji119]
6.Giografia.
Mkoani sehemu inayofanana na Dar ni pale makao makuu tu ya mkoa tena kwa asilimia 10% tu..........ambapo utakuta labda baadhi ya watu wa makabila mengine wapo,ukienda wilayani ni vituko vitupu,huko hamna wahindi wala,wachaga,matajiri wao kwa wao tu wanaongea viligha vyao.......[emoji1787][emoji1787][emoji16],ukienda mgeni unaonekana mchawi,makazini/shuleni ndio usiseme watu wanaongea kilugha kazini kawaida tu kumkuta mwalimu anawaelekeza wanafunzi wa lugha za asili[emoji16][emoji16][emoji119]
7.Upatikanaji wa vitu/vyakula.
Mkoani vyakula ni bei rahisi vya kununua ambavyo havijaandaliwa(Raw foods),unaweza pata mkungu hata elfu 3,kuku elfu 5,mayai mia 2........ila changamoto hakuna vyakula vya aina yote.....unajua Dar kila vyakula vipo kutoka mkoa wowote ule Tz.....mikoani vilivyo cheap ni vile tu vinavozalishwa eneo husika.
General Dar ndio penyewe maana utapata unachotaka kutoka mkoa wowote ule.........ukienda mgahawani mikoani ukitaka wali maharage ni kawaida tu kuletewa wali na maharage yaliyochemshwa tu[emoji16][emoji1787][emoji1] ,hamna hata kitunguu, wakati unakuta huo mkoa unaongoza kulima vitunguu,labda na nafaka zinatoa mafuta.....

8.Psychological
Dar huwezi kua mpweke unaweza lazimisha weekend uende beach kula bata,halafu watu wapo social tu mjini mtu hata humjui munapiga tu stori kijiweni fresh tu....unaondoa stress kiaina.
Mkoani kijiweni wanaongea kilugha[emoji1787][emoji16],ukienda mgeni wanamute wanaogopa sana polisi au wanaamini unawachunguza.
9.Ustaarabu
Dar/Pwani ,watu ni wastaarabu tu,....ukienda hospitali watu wanajielewa fresh,mtu kama anajua kitu cha pesa anafight,shuleni walimu wakiagiza wanafunzi mchango wazazi wanatoa fresh tu......mkoani na hivi marehemu shujaaa waliwajaza ujinga,watu wanaweza mpiga hata mwalimu kwa kuchangisha hela ya tuition tu shillingi mia mbili apate chochote[emoji1787][emoji1][emoji1],hospitali Doctor akisema hii dawa haipatikani kanunue,tayari simu kwa DC,.....wakati mtu mtoto wake mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji16].......yaani watu ni wagumu sana kujiongeza mkoani mtu yupo tayari age aisee........halafu mkoani watu wanapenda
Kuchongeana sana,mwalimu ukiwa u akula wanafunzi msala......ushawahi sikia mwalimu wa Dar kakamatwa na mwanafinzi wa sekondari .......Dar hata mazazi akijua hana noma,anajua huyo mwanafunzi wa kike,dudu kaitaka mwenyewe hajalazimishwa[emoji16].
Kwa Kifupi mkoani sio sehemu ya kuishi kwa mtu anayependa maisha social ya kawaida tu ya kibongo ya kujichanganya popote.......sio sehemu nzuri ya kutafuta maisha na ndio maana vijana wengi wa mkoa wanakuja Dar/Pwani kutafuta maisha.......ushawahi ona kijana wa kizaramo,kindengereko eti ameenda mkoani kutafuta maisha?[emoji1787][emoji1][emoji1]
Umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom