Mwacheni aishi maisha yake, hata ukifanya wema kiasi gani siku ukiishiwa haohao uliowasaidia wanaanza kukuchekaAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mkuu ondoa kabila,,ukweli ni kwamba matajiri wengi 98% ni matapeli na wauaji.Ukisema ukweli ni ukabila ?
- Tena hao kina Masanja washukuru maana Mengi angewafunga
Tunapenda sana kupangia watu matumizi alafu sijui nani alituambia kwamba mtu akiwa na milioni kadhaa ndo anatakiwa awe mtu wa kugawa fedha wakati hata sie hoehae tunatakiwa tutoe kidogo tulichonacho pia hata ikifika tunazo nyingi ni mwendelezo
Wakuu msimpangie matumiziUlimbukeni
Hajasoma uchumi
Umenena mkuu, nimeshuhudia wema ukigeuka maumivu5m ndogo sn, ww ulishapeleka nn kijijini kwako?
Anatafuta kwa ajl ya familia yake na sio kijiji, kijiji kina serikali atiiii, na serikalini ukijependekeza sn yatakukuta ya manji, hii nchi sio ya kujionesha etii una hela
Wanadamu hawakosi kukushusha ukiwa na kipato, iwe kabeba au katumia, ukweli ni kwamba ni kijana mtafutaji na mwenye malengomzee wa poda na mtumiaji mzuri, zimempa pesa sana ila amecheza kama Pele kuwa na kiteteo cha ukulima wa mpunga na kuwahudumia kondoo waliopotea zizini..maisha tambalare ukijitoa mhanga
Masanja ni jina la usanii, jina lake ni Emmanuel Mgaya. Mtu wa Mbeya au Iringa. Sio Msukuma.Msukuma haishagi ushamba mkuu.
Kwa akili yako Masanja ni msukuma![emoji13] [emoji13] [emoji13]Msukuma haishagi ushamba mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]Masikini tuna mawazo mazuri kweli!!
Wewe umepeleka mngapi mkuu kule kwenu??Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mkuu umetoa kwenye cytology! Au mimi ndo nachelewa kuelewa.?Dah aisee hlo tundu la mwisho kama procarytic cell.
Wakuu msimpangie matumizi
Unajua maana ya kujitoa mhanga? Kuna sehemu nimesema siyo mtafutaji? Kwa akili yako unadhani watumia podaa si watafutaji?Wanadamu hawakosi kukushusha ukiwa na kipato, iwe kabeba au katumia, ukweli ni kwamba ni kijana mtafutaji na mwenye malengo
Unajuaje kama anapeleka nyingine zinazobaki ndo analipia plate namba!!?Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mshamba Ni Floiyd myweza tuu.πππKaushamba ni kadogo mkuu,ni jiushamba haswa maana hizo swaga ni za mtu anayebahatisha.
Sijamaanisha ushamba huo mkuuIla mie naona kama mtu ameweza kutengeneza hela na anaishi maisha mazuri kwa kuitendea haki hela sidhani kama ni mshamba...nadhani tumelelewa kwenye tamaduni za ukitembea barabarani huku unakunywa juice kwa mrija au kufanya mambo yanayoendana na hayo unachukulia kama unapenda kujionyesha na wengine watakuita mshamba though ukila muwa na karanga utaonekana normal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katupiga sana gap sisi tunaotambia Vyeti vyetu na GPA zetu kubwa kutwa humu mitandaoni na mitaani tukisaidiwa na tu vi degree, vi masters na vi phd vyetu na uchungu unakuja zaidi kwamba Jamaa hana hata Kidato / Elimu kivile ila katusua na anatuburuza kweli.
Shikamoo Masanja!
Hahahahaha mkuu umenchekeshaa, kila familia itapata vyerehan vi4Ila nasisi wabongo tunapenda ku trace maisha ya watu
Anyway ni mojawapo ya uridhi tulioachiwa na wahenga
Sio mabaya sana.
Tanzania ya viwanda ikija tutakua busy sana hatutapata nafasi hii kwani tutafanya kwazi hadi usiku
Vyerehani vinaletwa kwa wingi
Kila mtu na kiwanda chake
Hii ndio excuse ya watu wavivu. Sio vizuri kuongea mambo usiyokuwa na ushahidi nao.Mambo ya Nganda!!!
Ngumu mkuuUnajuaje kama anapeleka nyingine zinazobaki ndo analipia plate namba!!?