Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Umeongea vizuri sana mkuu.
 
Ok mkuu
 
Hilo jiwe gizani vile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe!!!! Kata pua uunge wajihi jambo usilolijua ni sawa na kina cha bahari asante nimeunganisha na kipande nilichokuwanacho.
 
Bora umuulize.watu wanapenda kweli kupangia hela za watu..na hilo gorofa atasema angejenga ya udongo hela asaidie
Mara nyingi wenye mawazo hayo ni wale masikini, wewe mtu utampangiaje namna ya kutumia hela yake aliyoitafuta kwa jasho lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…