Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkuu nimetoa mfano tu.Wewe umepeleka mngapi mkuu kule kwenu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimetoa mfano tu.Wewe umepeleka mngapi mkuu kule kwenu??
Usijali mkuuWakuu msimpangie matumizi
Mkuu vijiji vyetu vinachangamoto kibao.Mwacheni aishi maisha yake, hata ukifanya wema kiasi gani siku ukiishiwa haohao uliowasaidia wanaanza kukucheka
Umeongea vizuri sana mkuu.Mkuu kutoa ni moyo hata wewe unaweza ukapeleka mchango wako hata kama ni buku 10, tatizo letu tunapenda kupangia matumizi pesa za watu...hata wewe nina imani una kitu chako hata kama ni cha bei rahisi kwa mujibu wa wewe kuna mwingine atakushangaa kwa kusema huyu jamaa anavaa shati la buku 10 wakati yapo kibao ya buku tatu tatu mnadani na hiyo ela si bora angenunua unga apeleke kituo cha watoto yatima
Ok mkuuMkuu kutoa ni moyo hata wewe unaweza ukapeleka mchango wako hata kama ni buku 10, tatizo letu tunapenda kupangia matumizi pesa za watu...hata wewe nina imani una kitu chako hata kama ni cha bei rahisi kwa mujibu wa wewe kuna mwingine atakushangaa kwa kusema huyu jamaa anavaa shati la buku 10 wakati yapo kibao ya buku tatu tatu mnadani na hiyo ela si bora angenunua unga apeleke kituo cha watoto yatima
Sawa mkuuHiyo ndo starehe yake., Budget ya kutoa misaada ilishatolewa., Iliyobaki ni ya kutanulia., Life is meant to be enjoyed.
Nimesema nilivyosema kutokana na uzoefu.Sasa pesa amepatia wapi ndugu kama sio kilimo
Kilimo kina pesa ndugu lima ujionee
Sio ushamba bna masanja ndo alivyo tokea kitambo ni mtu wa mashauzi ...ambaye hajamzoea ndo anaweza kusema hivoPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Sio msukuma mkuu ila anatamani kuwa msukuma yule ni mchuna ngozi na mpiga nondo za kichwa kutoka MbeyaMsukuma haishagi ushamba mkuu.
Life linabidi lisonge mkuuWangebaki EATV wangeendelea kudunda tatizo ni kuingia kwenye siasa
Aaah wapi,nimelima mkuu na mtaji mkubwa,wewe najua hujalima unaongea nadharia.Ukiwa na mtaji mkubwa kilimo kinalipa sn, ila km huna mtaji utaona hakilipi na utachukua mda mtefu kutoka kimaisha.
Ndio ushamba wenyewe huo mkuuSio ushamba bna masanja ndo alivyo tokea kitambo ni mtu wa mashauzi ...ambaye hajamzoea ndo anaweza kusema hivo
[emoji23][emoji23] kunywa maji mkuuWanamshukiru Mengi ndie aliwaingiza mjini
Masanja siyo Msukuma ni mtu wa Iringa, Msukuma ni jina lake la kuigiza tuMsukuma haishagi ushamba mkuu.
Kumbe!!!! Kata pua uunge wajihi jambo usilolijua ni sawa na kina cha bahari asante nimeunganisha na kipande nilichokuwanacho.Hilo jiwe gizani vile [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masanja siyo msukuma mkuuushamba ni asili, hauwezi kuisha...........muone Baba Bashite, hata akiishi Magogoni milele na milele ushamba hautamuisha!!
Mara nyingi wenye mawazo hayo ni wale masikini, wewe mtu utampangiaje namna ya kutumia hela yake aliyoitafuta kwa jasho lake!Bora umuulize.watu wanapenda kweli kupangia hela za watu..na hilo gorofa atasema angejenga ya udongo hela asaidie
HahahaMasikini tuna mawazo mazuri kweli!!