Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa lakini nilichoandika?Unajuaje kama hapeleki? Au ulitaka alenge madawati pekee?
Ushaanza kupangia matumizi hela ya mwanaume mwenzio....We ushawahi kupeleka hata chaki kijijini kwenu?![/QUOT
Crap
Boy ushawahi kulima kisasa na ukazingatia utaalamu wa wataalamu halafu usivune vizuri?Jitihada huleta bahatiKilimo hakilipi hivyo jamani tusidanganyane
kutafuta pesa azitafute yeye ...wewe umpangie azitumieje!!!!!!!Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
pesa auna ila mjanjaPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mkuu pata hela ukiwa kijana, alafu uje tena urudie kauli yakoAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Mbena tangu lini akawa Msukuma mzeeMsukuma haishagi ushamba mkuu.
Wewe umepeleka mangapi kijijini kwenu?anatafuta kwa jasho lake bila kusaidiwa acha atumie bila kupangiwaAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Ukisema ukweli ni ukabila ?
- Tena hao kina Masanja washukuru maana Mengi angewafunga
Hakuna faida yoyote, labda UMAARUFU na KESIUnaweza kusema project yao na Manji iliwafaidisha vipi!?
Duh,Unauliza Joti yupo wapi,.........Ukijaza unajazwa
Alikuwa anawahamasisha waliokuwa wanambebesha kuwa yupo tayari muda wote, maana haya ndio yamechangia kumtoa alikuwa punda mzuri sana...Hivi kuna neno fulani alikuwa analitumia katika komedy zake siku za nyuma ila siku hizi huwa hatumii lina maana gani? " !!!!!!!!!!!MAPOUDOOOOOOO!!!!!!!!!!"
Masanja sio billionaire kijana....Sasa mwenzako alikua billionea msimu wa kwanza tu,halafu ni heka 50 si hekta. Hekta 50 maana yake heka 150.
Pamoja mkuuUmeongea vizuri sana mkuu.
Ni kweli mkuu hata hao maskini pia kuna ambao kwa kiasi walichojariwa huwa wanajitutumua.....matajiri wengi hasa wa kiafrika ni wachoyo pia kutokana na maisha ambayo tumekuwa na ukiona tajiri ni mtu wa kutoa misaada mara kwa mara hasa hawa wa kwetu utagundua kwamba wengi wao hapo nyuma kabla hawajachomoka walikuwa ni watu wanaojali maisha ya watu.Kutoa misaada si vibaya., ni moja ya basic principle ya utajiri., Ila pia hulazimishwi..!! Maskini huwa wachoyo by nature, wasingekuwa wachoyo wasingekua maskini..!! Believe me or not, thats the universal law..
Mkuu kitu fedha kina fumbo kubwa sana na ndio maana watu mnaweza mkawa sehemu moja na fursa mnapata wote sawa lakini mwisho wa siku mnajikuta mwingine yupo juu ya mwingine aka hampo level moja .....all in all yote hayo anaweza kuyafanya kikubwa ametumia muda gani mpaka kufika hapo alipo ndo pakuhoji pia hicho kilimo anacholima ni ekari ngapi na gharama ya uwekezaji ni kiasi gani na mavuno kiasi gani.Ni kweli kilimo kinalipa sana ila sio kwa staili ya masanja.
Masanja kaanza kulima juzi kati tu mara keshanunua ghorofa mara VX mara BMW X6 mara ana mashine karibu zote za kilimo.
Nashindwa kabisa kukubali kama pesa zote zile ni za KILIMO ila naweza kuwaamin hata kama sio kwa 100% kwamba ngada inamhusu