Wewe unawaweza wajinga wajinga wengine wenye akili ndogo Mimi akili kubwa nakupa sipana za Moto hadi unani-ignore shida nini Moto imezidi au sio unawaka Moto hapo ulipo ? Nimekutia sipana za kichwa hadi unanikimbiaWewe ngumbaru hujui kusoma na mimi sitaki shombo zako, hujui tofauti ya jamii za kimasikini na masikini.
Nakupeleka ignore list kwa sababu upumbavu wako ni mkubwa kuliko uwezo wangu wa kukuelimisha, halafu una uwezo mkubwa wa kubishana kwa pumba bila self reflection.
Kuanzia hapa sitaona posts zako tena.
Duh kweli kuugua ni hatari.....Yaani Hussein Jumbe alifikia hivi siku zake za mwisho? Dah, hapa kachakaa mno jamani, mbona huruma. Anyways, Mungu amrehemu tu.
Wewe Bwana Kiranga acha ubishi wako huo. Hayo mambo ni kweli hata tusipodhibitisha kwa sasa.Unaongelea vitu ambavyo huwezi kuthibitisha vipo, kwa sababu havipo.
Kama unabisha, thibitisha vipo.
Wewe kwanza jifunze tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.Wewe Bwana Kiranga acha ubishi wako huo. Hayo mambo ni kweli hata tusipodhibitisha kwa sasa.
Hakuna uchawi. Ni watu tu wanaendekeza imani za uchawi.
Uchawi unatajwa kwenye vitabu vingi vipi?We jamaa hivi kuna kitu ambacho unakikubali?
Uchawi unatajwa kwenye vitabu vingi achilia mbali simulizi.
Kwako kila kitu unaona hakifai kuaminiwa bila kujali ushahidi wa matukio wanayokutana nayo.
Basi uheshimu tu kama vile ambavyo wewe hupangiwi juu ya imani zako.
Hizi habari za ulozi, Ulaya waliachana nazo enzi za The Dark Age yaani Miaka ya 1700 na kuingia kipindi cha Reinnassance! Leo hii mwaka 2023 Wabongo wanawaza ulozi halafu wanashangaa kwanini hawaendelei! This country bwana!!!Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha.
Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake haukuwa na Nuru ya furaha.
Mara kadhaa alilalamika kwamba Kuna vitendo vya kishirikina vilikuwa vinafanywa kwake. Aliugua sana, kipindi kile mpaka akatunga wimbo "nachechemea". Chanzo Cha kuugua, aliota nyoka anataka kumdhuru au amemdhuru, baada ya siku kadhaa, yule nyoka akaonekana chumbani kwake katika suruali, nyoka akauliwa na wanamtaa, hapo ndipo aliugua karibu kifo.
Baadae akajikuta tu anavunjika mfupa wa mguu, bila kujikwaa chochote. Hapo napo aliota ndoto ya ajabu, mara hiki na kile, anaamka asubuhi anaenda kusali, anarudi, mguu ukapata shida.
Stori ya huyu ndugu inanifanya niendelee kuiogopa Tanga. Na pia inanifanya nione jamii ya kiafrika Ina ushenzi fulani, kwa baadhi yetu.
Pumzika kwa amani Hussein Jumbe.
N.B: katika mahojiano fulani anaonekana kumsema kaka yake kwamba alikuwa anamzushia kuugua ngoma, kama kuzuia watu wasimsaidie, akapima akawa safi. Lakini bado anaumwa!!!!!
Medi Mpakanjia akampeleka Mombasa, akakutana na fundi, ndio akaponea huko, ila mchawi wake hakuchoka, aliendelea kumpa vitimbi. Bila shaka Sasa roho ya huyo mwanga itakuwa imetulia na atachinja kuku baada ya kusikia habari za kifo.
Sasa jamani mziki wa bendi posho kiduchu, ndio kumpiga mtu misumari hivyo?
Unajua Ulaya waliachanaje na ulozi? Watu waliuwawa sana, waliuwawa sana wachawi, hata ukihisiwa tu, hukumu ni kifo, Tanzania lilianza Jeshi la sungusungu lilikuwa linawachapa fimbo kwelikweli, kama unakumbuka skendo iliyomuondoa Ali Hassan Mwinyi madarakani, moja wapo ilikuwa skendo ya sungusungu kuwanyoosha wachawi.Hizi habari za ulozi, Ulaya waliachana nazo enzi za The Dark Age yaani Miaka ya 1700 na kuingia kipindi cha Reinnassance! Leo hii mwaka 2023 Wabongo wanawaza ulozi halafu wanashangaa kwanini hawaendelei! This country bwana!!!
wewe njoo shinyanga mtu anasali na hirizi...anmiliki kanisa na anatibiwa kwa chale kinyeji...Hakuna uchawi. Ni watu tu wanaendekeza imani za uchawi.
Hayo yote yanaweza kuwa matokeo ya ujinga tu, hakuna uthibitisho wa uchawi hapo.wewe njoo shinyanga mtu anasali na hirizi...anmiliki kanisa na anatibiwa kwa chale kinyeji...
wewe muumini ukatibiwe kwa mganga wa kienyeji....acha upuuzi wako...Hayo yote yanaweza kuwa matokeo ya ujinga tu, hakuna uthibitisho wa uchawi hapo.
Kusali kwa hirizi, hili huhitaji kuwa na uchawi kufanya, hata kwenye movies watu wanafanya.
Kumiliki knisa huhitaji uchawi, ingekuwa hivyo tungesema Papa ni mchawi.
Kutibiwa kwa chale hakuthibitishi uchawi, pengine ni utamaduni tu.
Upuuzi ni kuamini uchawi na waganga wa kienyeji.wewe muumini ukatibiwe kwa mganga wa kienyeji....acha upuuzi wako...
kwa hio uchawi haupo...Upuuzi ni kuamini uchawi na waganga wa kienyeji.
Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi na si kitu usichokielewa tu?kwa hio uchawi haupo...