Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

Wachawi ni wapumbavu tu watakutesa tu kama huna MUNGU
 
Jamii za Kitanzania nyingi kama sio zote zinafanya uchawi ila tunapenda sana kujibaraguza kujifanya hatuamini uchawi!
Hakika mfano wa hungaji wanafanya uchawi wazi wazi kabisa alafu wanauponda
 
Ndoto ni ujumbe juu ya kile kitakachokupata. Ukiota nyoka amekuuma jua tayari nguvu za giza zishapenya mwilini kwako ni wewe ni kuwa na maarifa ya kuzitoa.
 
Kitambo tu Jumbe hakuwa na nuru hakuwa na amani ya moyo
 
Kosa kubwa sana. Ila kwa kuwa tumepewa neema ya kuombeana, kwa jina la Yesu nakufungua na vifungo vya mauti kuanzia sasa kwa jina la Yesu. Bwana Mungu akutetee mbele ya watesi wako. Walilolikusudia lisifanikiwe kwa jina la Yesu.
Nyiyi watu wamazigaobwe hata nyiyi ni wachawi tu mlio jificha kwenye kichaka cha urokole kuwa pumbaza wajinga
 
Wasanii wengi ni washirikina hasa bendi za zamani. Ukiwa mshirikina ni rahisi kulogeka sababu unakuwa umeacha koki wazi
 
Kulogwa hakukwepeki hata msipokutana physically muhimu ni kuwa na kinga za kiroho.
Hata kwa wireless popote ulipo duniani unalogeka kupitia codes number zako au bloodline au kupitia picha, jina, ukoo nk. Dark world ni pana na ipo more advance in spiritual technology. Popote ulipo wapo.
 
Kazi ya mpumbuvu ni kupinga ukweli,kama hakuna uchawi hili jina uchawi lilitoka wapi?
Mantiki ya hoja yako ni kwamba kila kitu kinachosemwa na kupewa jina kipo.

Hivyo, nikisema kuna nchi inaitwa Ugagagigikoko, je, mimi kutaja hiyo nchi inayoitwa Ugagagigikoko kutafanya hiyo nchi iwepo kweli?

Nikisema kila mtu kaumbwa kwa manuta, hayo manuta ni matofali ya dhahabu, je, hilo jambo litakuwa kweli kwa sababu nimelisema na kulipa jina tu?

Je, watu hawawezi kutunga hadithi za uongo, wakatunga majina ya uongo, na kuweka dhana za uongo katika hadithi zao, na kuzipa hizo dhana za uongo majina?

Hujawahi kusoma hadithi ya uongo? Hujawahi kusoma Science Fiction yenye dhana ambazo hazipo kabisa duniani, lakini atu wamezitunga na kuzipa majina tu?

Hujawahi kusoma Science Fiction kabisaa?

Kwa hivyo, watu wawili wakitunga hadithi mbili zinazopingana, moja ikawa na uchawi, nyingine ikawa na katika ulimwengu ambao uchawi hauwezekani, ni dhana ya uongo tu, kuna "siuchawi" tu, hapo huoni kwamba hoja yako itafeli kwa sababu wote wameweza kusema vitu ambavyo vinapingana na ambavyo haviwezi vyote kuwa kweli kwa wakati mmoja?
 
Uchawi ni nini? Tuanzie hapo kwanza.
Kuna kitu kinaitwa ulimwengu wa giza ambao kwa macho ya kawaida uwezi kuona. Katika ulimwengu wa giza kuna shetani na malaika zake ambao ni roho na kwa taarifa yako ndiye anatawala huu ulimwengu pasipo mwanadamu kujua. Sasa hizo roho zina uwezo wake wa kutengeneza vitu na kuleta uharibifu mkubwa sana kwa mwanadamu. Hizo roho ziko katika makundi mengi sana na ninachelea kukuambia kwamba dini nyingi unazoziona hapa duniani aliyeanzisha ni hizo roho hili kunfanya mwadamu hasimjue Mungu wa kweli. Makundi mengine ni ya wachawi ambao wana uwezo wa kugeuza mwanadamu kuwa kitu cha ajabu. Nenda Google utapata maelezo zaidi maana muda hautoshi. Wewe ushukuru Mungu hujakutana nao na endelea hivyo hivyo hiyo itakusaidia maana ukiwaamini pia ni tatizo maana kila kitu kwako utaona umelogwa na ukishaanza kwenda kwa waganga basi umeshaunganshwa nao teyari.
 
Unaweza kuthibitisha huo ulimwengu wa giza wa shetani na malaika wake upo kweli na si hadithi za mapokeo zinazorudiwa vizazi na vizazi na watu wasiozihoji kwa kina tu?
 
Je, unatambua uwepo wa Sayansi nje ya hii ya darasani? Na makuu yake?
 
Hiyo yote ni pwani tamaduni nimemaanisha Zanzibar yote, Yanga, Dar, mtwara na lindi, Pwani
Na wakinga..,waha,wakerewe , mbeya huko na wasukuma pia Ni watu wa pwani..mkuu..maana wanajipaka mpaka mafuta ya Binadamu!
 

Jodi ni hatari sana kwenye maisha
 
Na wakinga..,waha,wakerewe , mbeya huko na wasukuma pia Ni watu wa pwani..mkuu..maana wanajipaka mpaka mafuta ya Binadamu!
Wana makorokocho Yao tofauti, Mimi nazungunzia madawa Fulani wanajipaka Yana hafufu Fulani mbaya inayofanana. Hao watakuwa na ushirikina wao ila wa pwani ndio hujipaka hayo na sijui mganga wao ni mmoja? Maana unakuta mfanyakazi kapaka ili aogopewe na boss. na boss naye kapaka ili aogopewe na mfanyakazi. Sasa wewe wa mataifa ukifikan ofisini kwake au upo naye siyo Moja kwenye CHOMBO Cha usafiri Cha moto utakiona hilo liharufu la kukera ila yeye yupo comfortable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…