Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

Chanzo makini kiliiambia Tasnim News kwamba madai ya jeshi la Israel ya kulenga maeneo 20 nchini Iran ni ya uongo, huku idadi halisi ya shabaha ikiwa ndogo zaidi.

Chanzo hicho kilisema kuwa shambulio hilo lilizinduliwa kutoka nje ya mipaka ya Iran, na kusababisha uharibifu mdogo tu.
 
Huu mwaka ni mwaka wa aibu kwa Israel baasa ya kupitia vipondo vikali viwili kutoka Iran halafu wakaigiza kwa aibu eti wame retaliate. 😂😂

Dunia imeshuhudia mwanaume halisi ni Iran aliyewanyoosha Mazayuni twice hadi wakawa na vikao lundo na basha wake USA namna ya kufuta aibu waliyoipata.
 
Back
Top Bottom